Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wafukuzwe hao wajinga haraka sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakiwafukuza wanahamia ccm kabisaaHana analoweza kufanya Njaa imewazidi nguvu... kama Halima ameshindwa yeye nani?
Mpeni uenyekiti wa Saccos mkuu!Hapa ndio unapomkubali Kigogo
Pole mkuu!Kigogo ni shida!!
Mi ndiyo maana niliacha kushabikia hiki chamaYani wamejizalilisha Sana very shame kuumia kisa nafasi za wanawake Hawa watu wabinafsi na wachumia tumbo, wao si waligombea waende bungeni sasa kushindwa kwao ndio wanawake eti wasiende, very shame
Sidhani kama barua rasmi ipo; ingekuwepo ingekuwa kitu cha kwanza kuzumgumziwa. Aidha barua ingeluwepo, hata kama ya kugushi hili suala lingeanzia NEC kwani ndicho chombo chenye dhamana ya kutangaza majina ya wabunge waliopatikana. Lakini inavyoelekea mambo yamaanzia bumgeni. Watu wamejipeleka wenyewe kwa Spika wakalishwa kiapo. Maadam limeanzia kwa Spika maana yake ni ule ule mkakati uliompokonya Lissu ubunge na kumrejesha Mwambe bungeni! Lengo ni kuwa na watu wanaoitwa ni wapinzani bila kujali wamepatikanaje. The end justifies the means!Mtashangaa pale mtakapo oneshwa barua ya uteuzi wa majina ya "vitu maalum" ikiwa na hati zote halali. Hii Tanzania watu wanaweza fanya yao mkabaki midomo wazi. Huu ujasiri wa kwenda kuapishwa bila Baraka za Chama, (kama ni kweli hazipo), wanautoa wapi?
Tusubiri tuone
Dah kwa issue ka hii ndio wamenichosha kabisa maswala ya wanawake ni sensitive wao wanaleta mitazamo yao kandamizi. Inabidi kuwa na upinzani wenye watu waelewa, viti hvo viko kikatiba na kwa bunge hili la kijani ilikuwa na umuhimu kuwa na mawazo mubadala Sasa wao wanaleta blah blahMi ndiyo maana niliacha kushabikia hiki chama
Hakina tofauti na CCM
Biashara mchezoii?Naunga mkono hoja ,wafukuzwe kabisa ,Mdee amekaa bungeni miaka 15 lakini bado anaogopa kukaa kitaani ,yaani miaka yote 15 hakujipanga? Sasa kama ameweza Kujenga HEKALU lile Mbweni Mpiji ameshindwa kuwa na mtaji wa biashara wa kuweza kumuendeshea maisha kipindi cha miaka mi5 mpaka aendekeze NJAA?
Anayapeleka kwa nani? Hawawezi kua wabunge bila kuapishwa na Ndugai.Ni wazi kuna rafu imechezwa kwa kushirikiana na Ndugai!Sasa ili iwe fundisho napendekeza wafutwe uanachama na KM apeleke majina mengine ambayo yamo kwenye orodha ya wagombea viti maalumu!