Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Hakuna cha salamu!

Huyu Katibu Mkuu ana sababu gani za kuendelea kukaa ofsini?

Kwa mambo yanayoendelea ndani ya chama, na kwa makanusho ambayo amekuwa akiyatoa tangu hatua za awali. Hadi kutimia kwake, bado anaendelea kukanusha!

Katibu Mkuu, umefanywa mjinga kiasi hicho au unaujua ukweli kisha unaamua kujitoa ufahamu na kuwafanya wanachama wajinga wasioelewa?

Sikuwahi kutilia shaka uwezo wa Mnyika, na hata ulipojiengua kugombea ubunge nilikupongeza na sababu zako unataka kujikita zaidi kitaifa kukijenga chama. Japo wengine walisema ni machale yako ulinusa harufu ya kushindwa kwa kishindo.

Sasa katika hili hapana, Mwenyekiti siwezi kumsemea. Yeye ni mwenye chama na hajatoa tamko lolote hadharani.

Iwe kwa kujua yanayoendelea, au kwa kuzungukwa na kufanyika kinyume nawe. Kwa heshima uliyokuwa nayo, hupaswi kuendelea kukaa ofsini.

Kujiuzulu ni chaguo sahihi ili kulinda heshima yako binafsi, kwa maana heshima ya chama tayari imeshatikiswa na haitarajiwi kurejea leo wala kesho.

Ncha Kali.
Leo kila mtu mchawi
 
Salaaam

Kuna jambo ambalo maybe watu wengi wanashindwa kulijua

Chadema walishakaa vikao na wakakubalina kabisa wapeleke viti maalum,

Na kama mnakumbuka kulikuwa na list kama tano tofauti zimetoka

Ila Sasa ugomvi ambao umetokea kwa Sasa ni kuwa Mdee amepeleka majina kwa vigezo vyake na sio vigezo vya wabunge wanaume ambao wameshindwa kwenye majimbo yao na wanataka kuweka watu wao kwenye viti maalum

Hapo ndio kwenye kasheshe
Ila Mdee sio mjinga aweze kufanya hayo yote bila kuwa na vikao halali
 
Acha ubishi mkuu ,sizungumzii marekebisho,nazungumzia mapato yatokanayo na uwekezaji wa nyumba 15.

-Maintanance ya nyumba haziepukiki hata usipopangisha...
Shida NI kwamba hata biashara hutanyo unajua tu kuongea.

Sina muda was kubishana.

HAKUNA biashara yente mapato tu bila matumizi Wala yenye faida tu bila hasara au biashara amnbayo haihitajii uzoefu.

Nyie ndio wale mnaopewa ushauri na motivational speakers haraka mnarukia biashara bila kutafakari changamoto zake
 
Hakuna cha salamu!

Huyu Katibu Mkuu ana sababu gani za kuendelea kukaa ofisini?

Kwa mambo yanayoendelea ndani ya chama, na kwa makanusho ambayo amekuwa akiyatoa tangu hatua za awali. Hadi kutimia kwake, bado anaendelea kukanusha!

Katibu Mkuu, umefanywa mjinga kiasi hicho au unaujua ukweli kisha unaamua kujitoa ufahamu na kuwafanya wanachama wajinga wasioelewa?

Sikuwahi kutilia shaka uwezo wa Mnyika, na hata ulipojiengua kugombea ubunge nilikupongeza na sababu zako unataka kujikita zaidi kitaifa kukijenga chama. Japo wengine walisema ni machale yako ulinusa harufu ya kushindwa kwa kishindo.

Sasa katika hili hapana, Mwenyekiti siwezi kumsemea. Yeye ni mwenye chama na hajatoa tamko lolote hadharani.

Iwe kwa kujua yanayoendelea, au kwa kuzungukwa na kufanyika kinyume nawe. Kwa heshima uliyokuwa nayo, hupaswi kuendelea kukaa ofsini.

Kujiuzulu ni chaguo sahihi ili kulinda heshima yako binafsi, kwa maana heshima ya chama tayari imeshatikiswa na haitarajiwi kurejea leo wala kesho.

Ncha Kali.
Politicians have their own interests not yours
 
Suala sio kuwa na kosa au lah, kuwajibika na kulinda heshima yake ni muhimu zaidi... unafanyaje kazi katika mazingira kama haya?
Atakula wapi akijiuzulu?
Ukiwa mwana "sihasa" wewe ni "matonya "
 
Back
Top Bottom