PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.

Ni hoja ya umma, ni hoja yenye muafaka wa kitaifa. Wakati umefika wa Rais Samia kujitokeza mbele ya umma na kukubaliana na rai hiyo ya wananchi na sauti na nasaha za viongozi wa dini ili kwa haraka mchakato huo wa kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi kuweza kuendelea"

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 
View attachment 3320517
Mabadiliko yameanza kupiganiwa tangu 1992 na Majaji makini walisimamia swala hilo.
 
Huyo mbwa ni mbunge wa wapi, huo umma anaongeaga nao wapi. Aache ubwege, hao viongozi wa dini wa mchongo wasituharibie nchi yetu watulize makalio. Wamekimbia uchaguzi wanataka kufanya janjajanja wakifikiri watafanikiwa kuingia ikulu, ikulu haihitaji magendo. Hao ni vibaraka
 
mnachekesha walionuna na hamna kazi za kufanya tuko busy na kuongoza nchi nyie endeleen kucheza
 
Na huo ndiyo ukweli mchungu kwa wahuni wote wasiotaka kuona tunakuwa na uchaguzi huru na wa haki. Binafsi tangu 2019 niliacha kupiga kura, mara baada tu ya kugundua uhuni uliokuwa ukiendelea.
 
Huyo mbwa ni mbunge wa wapi, huo umma anaongeaga nao wapi. Aache ubwege, hao viongozi wa dini wa mchongo wasituharibie nchi yetu watulize makalio. Wamekimbia uchaguzi wanataka kufanya janjajanja wakifikiri watafanikiwa kuingia ikulu, ikulu haihitaji magendo. Hao ni vibaraka
Screenshot_20250409_170157_X.jpg
Screenshot_20250405_004444_X.jpg
wawaona mbwa hawa?
downloadfile-5.jpg
 
"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.

Ni hoja ya umma, ni hoja yenye muafaka wa kitaifa. Wakati umefika wa Rais Samia kujitokeza mbele ya umma na kukubaliana na rai hiyo ya wananchi na sauti na nasaha za viongozi wa dini ili kwa haraka mchakato huo wa kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi kuweza kuendelea"

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam.
View attachment 3320517
Kama si hoja ya Chadema ni ya umma, iweje Chadema ndo isuse uchaguzi badala ya umma?
 
Back
Top Bottom