The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Sisi UMMA tuko na CHADEMA kwasababu inatusemea mpaka wanapigwa na kuuwawa kwasababu yetu.
Mabadiliko yameanza kupiganiwa tangu 1992 na Majaji makini walisimamia swala hilo."Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.
Ni hoja ya umma, ni hoja yenye muafaka wa kitaifa. Wakati umefika wa Rais Samia kujitokeza mbele ya umma na kukubaliana na rai hiyo ya wananchi na sauti na nasaha za viongozi wa dini ili kwa haraka mchakato huo wa kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi kuweza kuendelea"
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam.
View attachment 3320517
Mkuu hawakujiandaa kabisaKama CCM hawakujiandaa kwa Sera na ushawishi basi watakuwa ni Wapinzani kwa muda mfupi sana kabla ya kusambaratika.
Huyo mbwa ni mbunge wa wapi, huo umma anaongeaga nao wapi. Aache ubwege, hao viongozi wa dini wa mchongo wasituharibie nchi yetu watulize makalio. Wamekimbia uchaguzi wanataka kufanya janjajanja wakifikiri watafanikiwa kuingia ikulu, ikulu haihitaji magendo. Hao ni vibaraka"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.
Ni hoja ya umma, ni hoja yenye muafaka wa kitaifa. Wakati umefika wa Rais Samia kujitokeza mbele ya umma na kukubaliana na rai hiyo ya wananchi na sauti na nasaha za viongozi wa dini ili kwa haraka mchakato huo wa kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi kuweza kuendelea"
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam.
View attachment 3320517
mnachekesha walionuna na hamna kazi za kufanya tuko busy na kuongoza nchi nyie endeleen kucheza"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.
Ni hoja ya umma, ni hoja yenye muafaka wa kitaifa. Wakati umefika wa Rais Samia kujitokeza mbele ya umma na kukubaliana na rai hiyo ya wananchi na sauti na nasaha za viongozi wa dini ili kwa haraka mchakato huo wa kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi kuweza kuendelea"
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam.
View attachment 3320517
Wangejifunza hata kwa KANU tu 😆Mkuu hawakujiandaa kabisa
Wanasema Kuishi ni leo. Maambo ya kufikiria kuhusu baadae sio shida zao.Wangejifunza hata kwa KANU tu 😆
Wana very low IQ.Wanasema Kuishi ni leo. Maambo ya kufikiria kuhusu baadae sio shida zao.
Huyo mbwa ni mbunge wa wapi, huo umma anaongeaga nao wapi. Aache ubwege, hao viongozi wa dini wa mchongo wasituharibie nchi yetu watulize makalio. Wamekimbia uchaguzi wanataka kufanya janjajanja wakifikiri watafanikiwa kuingia ikulu, ikulu haihitaji magendo. Hao ni vibaraka
hakikaSisi UMMA tuko na CHADEMA kwasababu inatusemea mpaka wanapigwa na kuuwawa kwasababu yetu.
Kama si hoja ya Chadema ni ya umma, iweje Chadema ndo isuse uchaguzi badala ya umma?"Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa sauti hizo za viongozi wa dini na kwa sauti za wadau mbalimbali ambao wamepaza sauti, hoja hii ya kutakiwa kufanyika kwa mabadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA.