Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Jana Samia Suluhu Hassan wakati anazungumza na Rais wa Ghana amesema hali ya kisiasa Tanzania ni shwari, anaiambia dunia hali ya kisiasa Tanzania ni shwari. Nataka kusema kwamba jamii ya kimataifa isisikilize upotoshaji huo, hali ya kisiasa Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzani ni yupo gerezani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhaini." - John Mnyika