Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cha kushangaza CCM ndiyo wapangaji wa safu ya uongozi wa juu wa CDM kuelekea uchaguzi Mkuu.

Huhitaki D mbili.
hapana hakuna siasa ya namna hiyo gentleman, unless ni perceptions kwa waliokata tamaa...

chama kinachoamuliwa mambo yake ya ndani na chama kingine is a Dead political party πŸ’
 
hapana hakuna siasa ya namna hiyo gentleman, unless ni perceptions kwa waliokata tamaa...

chama kinachoamuliwa mambo yake ya ndani na chama kingine is a Dead political party πŸ’
Mifano ni mingi tu, mmoja ni huu - kuna nguvu nje ya CDM inayotaka Mh. Lissu na Mh. Mbowe wagombane kabla ya uchaguzi Mkuu ndani ya chama ngazi ya Taifa. Nguvu ni kubwa ila kila mara inadunda.
 
Mifano ni mingi tu, mmoja ni huu - kuna nguvu nje ya CDM inayotaka Mh. Lissu na Mh. Mbowe wagombane kabla ya uchaguzi Mkuu ndani ya chama ngazi ya Taifa. Nguvu ni kubwa ila kila mara inadunda.
sasa kwa chama cha siasa makini na imara kikishajua na kubaini hali hiyo, si kinajipanga kuiidhibiti na kukabiliana na hali hiyo? au chadema wanang'aa macho kusubiri litokee kwanza, right?πŸ’
 
Kama kazi ya Mnyika haina maana wewe kazi yako ina maana gani. Yaani uchawa unaofanya hapa ni muhimu kuliko John Mnyika anaye himiza katiba mpya ya maendeleo na demokrasia kwa nchi yetu. Katibu wa Chama chenye wanachama walioandikishwa zaidi ya 7M wewe unasema uchawa wako ni akili!. Ndiyo maana nasema umasikini wetu unasababishwa na watu kama wewe
 
labda nyumbu milioni 7🀣

wanachama hata milioni 1 hawafiki chadema πŸ’
 
afadhalli huko anaweza kua kitu lakini sio alipo hivi sasa. ni kiongozi mnyonge asie na uelekeo kabisa πŸ’
Mtu akipwaya akili kama ulivyo mleta mada, ni lazima uone kila kitu kimepwaya.
 
Mtu akipwaya akili kama ulivyo mleta mada, ni lazima uone kila kitu kimepwaya.
kwani ukimchochea kijana mwenzio ashupaze shingo mahali asipohitajika, mahali ambapo anapwaya hatoshi halafu unadhani mbobevu kama mimi napata hasara gani mathalan?πŸ’

mie natimiza wajibu wangu kwa kusema ukweli tu gentleman πŸ’
 
Hafurukuti mbona nyiiiiiiingi? . Umeandika pumba tu kama akili yako.
 
Hafurukuti mbona nyiiiiiiingi? . Umeandika pumba tu kama akili yako.
sasa si ungekaandika pamba kali gentleman 🀣

mihemko imekutoa baru πŸ’
 
sasa si ungekaandika pamba kali gentleman 🀣

mihemko imekutoa baru πŸ’
Umeandika andiko refu lakini hakuna la maana. Unarudia rudia tu maneno. Jaribu kusoma tena ulichoandika ni pumba tu na umbeya.
 
Umeandika andiko refu lakini hakuna la maana. Unarudia rudia tu maneno. Jaribu kusoma tena ulichoandika ni pumba tu na umbeya.
🀣sasa si ungeandika wewe cha maana mbona unaonyesha mihemko na ghadhabu tu πŸ’
 
🀣sasa si ungeandika wewe cha maana mbona unaonyesha mihemko na ghadhabu tu πŸ’
Sina mihemko yoyote bali ni ukweli na wakati mwingine ukiona huna la maana ni kheri ukae tu kimya kuliko kujitia aibu kiasi hiki yaani umekazana tu hafurukuti, mara wamem tight... Yaani pumba mtindo mmoja yaani nahisi hata huyo Mnyika mwenyewe akisoma hili andiko atajua tu ni mwehu na unapaswa kupuuzwa.
 
Wewe Tlaatlaah una nyege zisizoisha wewe kutwa ni CDM huna cha kufanya broh? Nyuzi zako zote unategemea CMD ili watu wachangie. Broh mind your time, u'have a lot to do broh.
 
Wacha weeee wewe ndio mtaalamu mbobevu unayetegemewa na CCM sio? KAZI ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…