The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
We makelele huna hoja umekuja na michapooo.ni wa chama gani huyo gentleman? 🐒
labda itakua story for other day au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We makelele huna hoja umekuja na michapooo.ni wa chama gani huyo gentleman? 🐒
labda itakua story for other day au?
hapana hakuna siasa ya namna hiyo gentleman, unless ni perceptions kwa waliokata tamaa...Cha kushangaza CCM ndiyo wapangaji wa safu ya uongozi wa juu wa CDM kuelekea uchaguzi Mkuu.
Huhitaki D mbili.
Mifano ni mingi tu, mmoja ni huu - kuna nguvu nje ya CDM inayotaka Mh. Lissu na Mh. Mbowe wagombane kabla ya uchaguzi Mkuu ndani ya chama ngazi ya Taifa. Nguvu ni kubwa ila kila mara inadunda.hapana hakuna siasa ya namna hiyo gentleman, unless ni perceptions kwa waliokata tamaa...
chama kinachoamuliwa mambo yake ya ndani na chama kingine is a Dead political party 🐒
sasa kwa chama cha siasa makini na imara kikishajua na kubaini hali hiyo, si kinajipanga kuiidhibiti na kukabiliana na hali hiyo? au chadema wanang'aa macho kusubiri litokee kwanza, right?🐒Mifano ni mingi tu, mmoja ni huu - kuna nguvu nje ya CDM inayotaka Mh. Lissu na Mh. Mbowe wagombane kabla ya uchaguzi Mkuu ndani ya chama ngazi ya Taifa. Nguvu ni kubwa ila kila mara inadunda.
relax gentleman,
naona una mambo mengi sana moyoni , lakini yana make sense,
but nikutie moyo tu kwamba just relax kua mustahimilivu na mwenye subra ni suala la muda tu natakuja upande huo wa malalamiko na mapendekezo yako but not today ndani ya mjadala huu, na huna sababu ya kuja inbox kwangu for lobbying, just wait ni mpango wa jumla chini ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu makini sana, kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan..
hata hivyo,
tazama brains kama za akina John Myika zinavyotumika vibaya na kuteseka kwenye kazi ambazo mwisho wa siku hazina maana yoyote,
utaungana na mimi kwamba mnyika anastahili kufanya kazi ya kuleta mabadiliko kwenye Taasisi ya umma yenye malengo na yenye uelekeo kwa uhuru bila kufungwa mikono wala miguu wala mdomo kama anakofanya kazi sasa...
he is always vibrant, creative energetic katika kazi lakini cartels wamemzonga kijana wa watu hafurukuti left right wala center anaburuzwa tu kama ling'ombe,
no, this is not good,
kama vijanaa Lazima ifikie mahali tuelezane ukweli tu 🐒
labda nyumbu milioni 7🤣Kama kazi ya Mnyika haina maana wewe kazi yako ina maana gani. Yaani uchawa unaofanya hapa ni muhimu kuliko John Mnyika anaye himiza katiba mpya ya maendeleo na demokrasia kwa nchi yetu. Katibu wa Chama chenye wanachama walioandikishwa zaidi ya 7M wewe unasema uchawa wako ni akili!. Ndiyo maana nasema umasikini wetu unasababishwa na watu kama wewe
mimi na nani gentleman?🐒
mimi ni mtaalamu mbobevu wa masuala ya kisiasa, si shinikizi mtu yeyote azingatie ushauri, maelekezo au nasaha zangu za dhati kisiasa dhidi ya yeyote anaehusika,
bali nikiona jambo la kisiasa, tena bayana kabisa, kwa mfano kama hili, huwa sijivungi kusema ukweli na sina uchoyo wa kushirikisha wengine maoni na mtazamo wangu juu ya hilo,
na for sure itakua si ungwana kabisa kuficha jambo muhimu kama hili na huku nikiwa mbobevu ninae ona mbali,
so,
gentleman relax, na hakuna habari ya kutumwa hapa bali
Mtu akipwaya akili kama ulivyo mleta mada, ni lazima uone kila kitu kimepwaya.afadhalli huko anaweza kua kitu lakini sio alipo hivi sasa. ni kiongozi mnyonge asie na uelekeo kabisa 🐒
kwani ukimchochea kijana mwenzio ashupaze shingo mahali asipohitajika, mahali ambapo anapwaya hatoshi halafu unadhani mbobevu kama mimi napata hasara gani mathalan?🐒Mtu akipwaya akili kama ulivyo mleta mada, ni lazima uone kila kitu kimepwaya.
Chadee watulize mishono tu rulling pari mbeleeeee kwa mbeleeeee 💚💚💚💚💚
Hafurukuti mbona nyiiiiiiingi? . Umeandika pumba tu kama akili yako.Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.
Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda heshima, hadhi na umarufu kidogo sana aliojipatia akiwa kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama. aachie ngazi apate fursa ya kujipanga kuomba nafasi za uwakilishi hususani udiwani, na atabaki akiheshimika zaidi...
Kwakweli katibu mkuu chadema ni mnyonge mno aliezongwa na kuzingirwa na wenye sauti na nguvu ya pesa ndani ya CHADEMA, si Mnyika yule wa escrow tena kadhibitiwa vizuri sana right left and center na macatels ndani ya chama, hafurukuti bana, kapoaaa.
Ni katibu mkuu mwepesi mno, hana vibe tena, wala hamasa au haiba ya ukatibu mkuu, hana misuli, wala meno ya kimamlaka ndani ya chadema, utendaji wake umepoa mno, uko limited na unatambulika na kuheshimika kwa uchache sana ndani na nje chadema hususani kwenye matukio ya shari tu.
Ni kama vile kafungwa mikono na kuzubwa mdomo kisiasa, hawezi kung"aka wala kumbwekea yeyote ndani ya CHADEMA ila yeye anabwekewa sana kwamba hatoshi na hana ubavu pale CHADEMA.
Kadhibitiwa vizuri na waandamizi wenye nafasi nyingine ndani ya chadema, hafurukuti kabisaa, unaweza kusema naibu wake ndie ana nguvu, sauti uthubutu na ushawishi zaidi yake.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni mpweke sana ndrugu na kaka yangu John Mnyika. wema, woga na ustaarabu wake nadhani umezidi kiwango cha ukatibu mkuu, umemfanya awe si lolote si chochote CHADEMA. Awepo CHADEMA sawa, asipokuwepo nayo sawa. hana mipango, si mbunifu, si mjenga hoja tena Mnyika. yawezekana amekua mtu mzima, but amekua vibaya.
Nadhani aliililia nafasi ya ukatibu mkuu angali bado kijana mdogo, Lakini akiwa na matarajio makubwa na matokeo yake akakuta hali ni ndivyo sivyo. nadhani ameshindwa kabisaa kutengeneza chemistry na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama, kitu ambacho kimemfanya awe mpweke mpaka sasa.
Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.
Kama kijana mtaalamu na mbobevu wa masuala haya ya siasa za Tanzania na hususani ndani ya chadema, namshauri kwa heshima, mungwana huyu rafiki yangu John J. Mnyika aachie ngazi mapema iwezekanavyo kadiri anavyoona inafaa.
Soma Pia:
- Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?
- Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
Nafasi za uwakilishi mathalani udiwani zinamfaa zaidi, kuliko kuliko anachokifanya sasa hivi na hana sababu hata moja kusubiri kutoswa ndani ya chama chake wakati uchaguzi mkuu ukiwa umekwisha.
na kutoswa kwake kupo nje nje sana CHADEMA.
Ni muhimu kuamua na kuchukua hatua sasa, na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Umeandika andiko refu lakini hakuna la maana. Unarudia rudia tu maneno. Jaribu kusoma tena ulichoandika ni pumba tu na umbeya.sasa si ungekaandika pamba kali gentleman 🤣
mihemko imekutoa baru 🐒
Sina mihemko yoyote bali ni ukweli na wakati mwingine ukiona huna la maana ni kheri ukae tu kimya kuliko kujitia aibu kiasi hiki yaani umekazana tu hafurukuti, mara wamem tight... Yaani pumba mtindo mmoja yaani nahisi hata huyo Mnyika mwenyewe akisoma hili andiko atajua tu ni mwehu na unapaswa kupuuzwa.🤣sasa si ungeandika wewe cha maana mbona unaonyesha mihemko na ghadhabu tu 🐒
Wacha weeee wewe ndio mtaalamu mbobevu unayetegemewa na CCM sio? KAZI ipokama mtaalamu mbobevu katika siasa na diplomasia, nina ona mengi nina fanya tafiti nyingi, ninafahamu mambo mengi ya ndani na nje ya vyama vya siasa nchini...
na kwahivyo itakua ni makosa makubwa ya kitaalamu kunyamazia kitu ambacho ni bayana na wazi kama hicho, kwaabab nahusika moja kwa moja kubainisha haya kwenye platforms mbalimbali ikiwa ni pamoja na humu JF,
Kwan kuna ubaya wowote ndrugo nzango 🐒