Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna haja ya kuhamisha magoli au kujificha kwenye kwenye typing errors au kujigeuza mwalimu wa silabi na nahau hali ya kua ni bayana reply imeeleweka....Kiinglish kikupite kando na kiswahili majanga. Neno ni hiyo
actually,Unadhani ni Lissu pekee aliyepokea mzigo?
yaani katibu mkuu wa chama chenye wabunge zaidi ya mia4 akafanye mdahalo na vyama visivyo na mbunge hata moja, ni kichekesho na nikupoteza muda na hasa ukizingatia ratiba ngumu mno ya katibu Mkuu wa CCM ilivyo 🐒Nchimbi atahudhuria nahakika na hilo
Baada ya Lissu "kuonwa" ameacha kabisa kuhamasisha kuchangiwa gari,actually,
msururu wa waliovuta mzigo ni mrefu mno na ndio maana kuna umakini mkubwa mno kwa viongoz waandamizi wa chadema wanapomjibu Msigwa kuhusu mambo haya ya mlungula,
halafu,
labda ni mtu asiemfahamu LISU tu ndie anaweza kuamini eti LISU alipewa mlungula akakataaa,
yaani lisu kabisa akatae mlungula?
halafu tena aende mtaani kuomba omba kuchangiwa 🐒
Lisu amedokezwa na ameshaelezwa kwamba ajizuie kidogo kununua hilo gari kwa hizo pesa za mchango, kuna utaratibu unaendelea atapewa gari jipya soon na wadau wa maendeleo kutoka CCM 🐒Baada ya Lissu "kuonwa" ameacha kabisa kuhamasisha kuchangiwa gari,
facts ni matokeo ya tafiti ninazofanya kila leo, na by the way ushauri wangu, mapendekezo na nasaha zangu kwa kijana mwenzangu J Myika ni kwa manufaa yake mwenyewe kisiasa,Tlaatlaah chawa wenzio wanauliza kwanza kabla ya kukurupuka. Usiandike tu kuwafurahisha paymasters wako huko CCM bila kua na facts.
Huna lolote.facts ni matokeo ya tafiti ninazofanya kila leo, na by the way ushauri wangu, mapendekezo na nasaha zangu kwa kijana mwenzangu J Myika ni kwa manufaa yake mwenyewe kisiasa,
sasa mihemko na ghadhab za huku pembeni pembeni, sidhani kama ni za Muhimu sana kwa mtu mbobevu kama mimi ninae eleza mambo mbalimbali ya ukweli humu jukwaani kulingana na matokeo ya tafiti ninazofanya 🐒
Wewe ni inzi wa hapa kwetu Lumumba.mimi na nani gentleman?🐒
mimi ni mtaalamu mbobevu wa masuala ya kisiasa, si shinikizi mtu yeyote azingatie ushauri, maelekezo au nasaha zangu za dhati kisiasa dhidi ya yeyote anaehusika,
bali nikiona jambo la kisiasa, tena bayana kabisa, kwa mfano kama hili, huwa sijivungi kusema ukweli na sina uchoyo wa kushirikisha wengine maoni na mtazamo wangu juu ya hilo,
na for sure itakua si ungwana kabisa kuficha jambo muhimu kama hili na huku nikiwa mbobevu ninae ona mbali,
so,
gentleman relax, na hakuna habari ya kutumwa hapa bali kujituma zaidi 🐒
sasa wew mwenye lolote mbona unaunga mkono hoja yangu kiaina?🤣Huna lolote.
Kwa taarifa yako mwamba alishajiuzulu Ila ameombwa awepo kipindi hiki mwingine anasuburi kusimikwa.
Wale wamama watoe fungu la kumi na kumpa Mnyika. Halima ni tajiri mwenye mashamba ya parachichi huko Njombe.walau atakumbukwa na wale wamama, eti ee🐒
labda nyumbu milioni 7🤣
wanachama hata milioni 1 hawafiki chadema 🐒