Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiinglish kikupite kando na kiswahili majanga. Neno ni hiyo
hakuna haja ya kuhamisha magoli au kujificha kwenye kwenye typing errors au kujigeuza mwalimu wa silabi na nahau hali ya kua ni bayana reply imeeleweka....

ni Muhimu zaidi J Mnyika akajiuzulu haraka mapema uwezekanavyo kabla mambo yake hayajaharibika zaidi pale chadema.
uhakika ni kwamba atatoswa baada ya uchaguzi ngazi ya Taifa 🐒
 
Unadhani ni Lissu pekee aliyepokea mzigo?
actually,
msururu wa waliovuta mzigo ni mrefu mno na ndio maana kuna umakini mkubwa mno kwa viongoz waandamizi wa chadema wanapomjibu Msigwa kuhusu mambo haya ya mlungula,

halafu,
labda ni mtu asiemfahamu LISU tu ndie anaweza kuamini eti LISU alipewa mlungula akakataaa,

yaani lisu kabisa akatae mlungula?
halafu tena aende mtaani kuomba omba kuchangiwa 🐒
 
Nchimbi atahudhuria nahakika na hilo
yaani katibu mkuu wa chama chenye wabunge zaidi ya mia4 akafanye mdahalo na vyama visivyo na mbunge hata moja, ni kichekesho na nikupoteza muda na hasa ukizingatia ratiba ngumu mno ya katibu Mkuu wa CCM ilivyo 🐒
 
actually,
msururu wa waliovuta mzigo ni mrefu mno na ndio maana kuna umakini mkubwa mno kwa viongoz waandamizi wa chadema wanapomjibu Msigwa kuhusu mambo haya ya mlungula,

halafu,
labda ni mtu asiemfahamu LISU tu ndie anaweza kuamini eti LISU alipewa mlungula akakataaa,

yaani lisu kabisa akatae mlungula?
halafu tena aende mtaani kuomba omba kuchangiwa 🐒
Baada ya Lissu "kuonwa" ameacha kabisa kuhamasisha kuchangiwa gari,
 
nadhani ratiba ya katibu Mkuu wa CCM iko kwenye public domain, ni tyty sana na ina majukumu mazito ya kichama kitaifa na kimataifa,

zaidi sana,
hakuna sababu hata moja kwa katibu mkuu wa chama tawala chenye wabunge zaidi ya mia4 kwenda kufanya mdahalo na vyama visivyo hata na diwani moja,

for what kwanza?
huko ni kupoteza muda, lakin ni kuiharibu ratiba zingine Muhimu zaidi 🐒
 
Baada ya Lissu "kuonwa" ameacha kabisa kuhamasisha kuchangiwa gari,
Lisu amedokezwa na ameshaelezwa kwamba ajizuie kidogo kununua hilo gari kwa hizo pesa za mchango, kuna utaratibu unaendelea atapewa gari jipya soon na wadau wa maendeleo kutoka CCM 🐒
 
Tlaatlaah chawa wenzio wanauliza kwanza kabla ya kukurupuka. Usiandike tu kuwafurahisha paymasters wako huko CCM bila kua na facts.
facts ni matokeo ya tafiti ninazofanya kila leo, na by the way ushauri wangu, mapendekezo na nasaha zangu kwa kijana mwenzangu J Myika ni kwa manufaa yake mwenyewe kisiasa,

sasa mihemko na ghadhab za huku pembeni pembeni, sidhani kama ni za Muhimu sana kwa mtu mbobevu kama mimi ninae eleza mambo mbalimbali ya ukweli humu jukwaani kulingana na matokeo ya tafiti ninazofanya 🐒
 
Huna lolote.
Kwa taarifa yako mwamba alishajiuzulu Ila ameombwa awepo kipindi hiki mwingine anasuburi kusimikwa.
 
mimi na nani gentleman?🐒

mimi ni mtaalamu mbobevu wa masuala ya kisiasa, si shinikizi mtu yeyote azingatie ushauri, maelekezo au nasaha zangu za dhati kisiasa dhidi ya yeyote anaehusika,

bali nikiona jambo la kisiasa, tena bayana kabisa, kwa mfano kama hili, huwa sijivungi kusema ukweli na sina uchoyo wa kushirikisha wengine maoni na mtazamo wangu juu ya hilo,

na for sure itakua si ungwana kabisa kuficha jambo muhimu kama hili na huku nikiwa mbobevu ninae ona mbali,

so,
gentleman relax, na hakuna habari ya kutumwa hapa bali kujituma zaidi 🐒
Wewe ni inzi wa hapa kwetu Lumumba.
 
Mimi naona hajapwaya kwasababu alifanya vyema kusaini document ya wabunge viti maalum 19 (Covid19)... kazi ilikuwa nzuri.
 
Huna lolote.
Kwa taarifa yako mwamba alishajiuzulu Ila ameombwa awepo kipindi hiki mwingine anasuburi kusimikwa.
sasa wew mwenye lolote mbona unaunga mkono hoja yangu kiaina?🤣

umembwela mbwela wee mwisho unaanza kueweka bayana kilichopo ndani ya chadema, sambamba na ushauri wangu muafaka kwa katibu mkuu wa chadema kuepuka mtego huo ambao unategemea kummaliza kisiasa 🐒
 
Anajua kuwa tofauti za kisiasa siyo uadui wala vita. Huyu tukimpata CCM ndiyo sehemu yake huko kwingine alipotea njia
 
Back
Top Bottom