Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe tulikuwa wote πŸ€”
Baada ya hapo mimi niliachana na ushabiki wa vyama
 
mihemko yako ni mserereko 🀣
 
Wewe Tlaatlaah una nyege zisizoisha wewe kutwa ni CDM huna cha kufanya broh? Nyuzi zako zote unategemea CMD ili watu wachangie. Broh mind your time, u'have a lot to do broh.
wew si ufuatilie mambo mengine nini kina kuwasha na kukupa kiherehere cha kufungua na kufuatilia mambo ambayo si muhimu kwako,alaaaπŸ’
 
si ndogo na wala si nyepesi hata kidogo lakini kwa Neema na Baraka za Mungu nitang'ang'ana nayo bila kuchoka wala kukata tamaa mpka kieleweke, ndio....

Kwan kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango πŸ’
 
MUNGU huyu Huyu au Mungu Gani??
actually,
wenye mashaka huwa ni washirikina, je, wew ni moja wao?πŸ’

Ilisikika sauti ikimuhoji mtu moja mwenye imani haba nje ya ukuta wa fensi πŸ’
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
 
Wewe na mimi hatuna moral authority ya kuzungumzia masuala ya ndani a chadema. Angalikuwa Erythrocyte au Retired au Benjamini Netanyahu au Mmawia hapo sawa
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
UWT hawana akili
 
Wewe na mimi hatuna moral authority ya kuzungumzia masuala ya ndani a chadema. Angalikuwa Erythrocyte au Retired au Benjamini Netanyahu au Mmawia hapo sawa
wewe ndio huna iyo uliyoitaja,
sisi wataalamu, wabobezi na watafiti wa masula mbalimbali hususan ya kisiasa hatuhitaji mbambamba au ruhusa kutoka kwa yeyote yule ili kusema ukweli au kutoa ushauri, mapendekezo au nasaha pale inapobidi au inapoonekena inafaa....

hao uliowataja,
kwanza ni waoga kichizi, lakin pia ni wafuata mkumbo tu, hakuna anaeweza kuthubutu kusema ukweli ili waitwa wasaliti, na kisha watimuliwe chamani...

mostly,
hao ni kama water melon tu katika siasa za ndani ya chadema πŸ’
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
kwahivyo mihemko imekukurupua huko huoni hata mambo ya msingi na Muhimu sana ndani ya hoja mahususi mezani, yaani umeona giza tu 🀣

ni hiyari, uhuru na haki kwa mwana JF yeyote yule kuona au kuamini jambo fulani ni kweli ama si kweli....

so,
ushirikina wako fanya huko huko, na mihemko yako ishia nayo huko huko, sawa gentleman πŸ’
 
Kiinglish kikupite kando na kiswahili majanga. Neno ni hiyo
 
Wewe mtu wa CCm unamamlaka yapi kuzungumzia mafanikio ya chadema. Au unakuta mtu wa Simba ati anaishauri Yanga iweze kufanikiwa. Huu ni uhayawani
katika masula mbalimbali hasa ya kitaalamu hususan yanayohusu vijanaa wanao shurutishwa, wanaozongwa zongwa, wanaofinyangwa finyangwa na kufanyiwa saikolojiko tortured na macatels ndani ya vyama vyao, mbobevu kama mimi siwezi kaa kimya kujaribu kunasua kijana mwenzangu ambae kwa historia inaonekana alikua ni vibrant lakin pia alikua bright sana kwenye siasa za kitaifa...

lakin sasaivi,
yuko tied miguu, mikono, na mdomo, amebanwa vizuri left, right and kijana kapoteza uelekeo kabisa na lengo ni kumdump nje akiwa hoi baada ya uchaguzi wa ndani wa chadema kwisha...


so,
ushauri wangu kitaalamu ni vyema akaachia ngazi sasa hivi ajipange kwaajili labda ya udiwani mwaka ujao πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…