Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nimekua mshauri kwa mrefu sana katika kipindi cha Dr Wilbroad P Slaa na tulifanikiwa sana wakati huo mpaka bale hayati E N Lowasa alivyokaribishwa Chadema na sisi first class brain think thank tukapuuzwa ndio sasa likaja lile vuguvugu la vijana na uongozi wa mihemko, ghadhab na waporomosha matusi,
Kumbe tulikuwa wote 🤔
Baada ya hapo mimi niliachana na ushabiki wa vyama
 
Sina mihemko yoyote bali ni ukweli na wakati mwingine ukiona huna la maana ni kheri ukae tu kimya kuliko kujitia aibu kiasi hiki yaani umekazana tu hafurukuti, mara wamem tight... Yaani pumba mtindo mmoja yaani nahisi hata huyo Mnyika mwenyewe akisoma hili andiko atajua tu ni mwehu na unapaswa kupuuzwa.
mihemko yako ni mserereko 🤣
 
Wewe Tlaatlaah una nyege zisizoisha wewe kutwa ni CDM huna cha kufanya broh? Nyuzi zako zote unategemea CMD ili watu wachangie. Broh mind your time, u'have a lot to do broh.
wew si ufuatilie mambo mengine nini kina kuwasha na kukupa kiherehere cha kufungua na kufuatilia mambo ambayo si muhimu kwako,alaaa🐒
 
si ndogo na wala si nyepesi hata kidogo lakini kwa Neema na Baraka za Mungu nitang'ang'ana nayo bila kuchoka wala kukata tamaa mpka kieleweke, ndio....

Kwan kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango 🐒
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
 
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.

Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda heshima, hadhi na umarufu kidogo sana aliojipatia akiwa kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama. aachie ngazi apate fursa ya kujipanga kuomba nafasi za uwakilishi hususani udiwani, na atabaki akiheshimika zaidi...

Kwakweli katibu mkuu chadema ni mnyonge mno aliezongwa na kuzingirwa na wenye sauti na nguvu ya pesa ndani ya CHADEMA, si Mnyika yule wa escrow tena kadhibitiwa vizuri sana right left and center na macatels ndani ya chama, hafurukuti bana, kapoaaa.

Ni katibu mkuu mwepesi mno, hana vibe tena, wala hamasa au haiba ya ukatibu mkuu, hana misuli, wala meno ya kimamlaka ndani ya chadema, utendaji wake umepoa mno, uko limited na unatambulika na kuheshimika kwa uchache sana ndani na nje chadema hususani kwenye matukio ya shari tu.

Ni kama vile kafungwa mikono na kuzubwa mdomo kisiasa, hawezi kung"aka wala kumbwekea yeyote ndani ya CHADEMA ila yeye anabwekewa sana kwamba hatoshi na hana ubavu pale CHADEMA.

Kadhibitiwa vizuri na waandamizi wenye nafasi nyingine ndani ya chadema, hafurukuti kabisaa, unaweza kusema naibu wake ndie ana nguvu, sauti uthubutu na ushawishi zaidi yake.

Katibu Mkuu wa CHADEMA ni mpweke sana ndrugu na kaka yangu John Mnyika. wema, woga na ustaarabu wake nadhani umezidi kiwango cha ukatibu mkuu, umemfanya awe si lolote si chochote CHADEMA. Awepo CHADEMA sawa, asipokuwepo nayo sawa. hana mipango, si mbunifu, si mjenga hoja tena Mnyika. yawezekana amekua mtu mzima, but amekua vibaya.

Nadhani aliililia nafasi ya ukatibu mkuu angali bado kijana mdogo, Lakini akiwa na matarajio makubwa na matokeo yake akakuta hali ni ndivyo sivyo. nadhani ameshindwa kabisaa kutengeneza chemistry na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama, kitu ambacho kimemfanya awe mpweke mpaka sasa.

Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.

Kama kijana mtaalamu na mbobevu wa masuala haya ya siasa za Tanzania na hususani ndani ya chadema, namshauri kwa heshima, mungwana huyu rafiki yangu John J. Mnyika aachie ngazi mapema iwezekanavyo kadiri anavyoona inafaa.

Soma Pia:

Nafasi za uwakilishi mathalani udiwani zinamfaa zaidi, kuliko kuliko anachokifanya sasa hivi na hana sababu hata moja kusubiri kutoswa ndani ya chama chake wakati uchaguzi mkuu ukiwa umekwisha.
na kutoswa kwake kupo nje nje sana CHADEMA.

Ni muhimu kuamua na kuchukua hatua sasa, na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe na mimi hatuna moral authority ya kuzungumzia masuala ya ndani a chadema. Angalikuwa Erythrocyte au Retired au Benjamini Netanyahu au Mmawia hapo sawa
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
UWT hawana akili
 
Wewe na mimi hatuna moral authority ya kuzungumzia masuala ya ndani a chadema. Angalikuwa Erythrocyte au Retired au Benjamini Netanyahu au Mmawia hapo sawa
wewe ndio huna iyo uliyoitaja,
sisi wataalamu, wabobezi na watafiti wa masula mbalimbali hususan ya kisiasa hatuhitaji mbambamba au ruhusa kutoka kwa yeyote yule ili kusema ukweli au kutoa ushauri, mapendekezo au nasaha pale inapobidi au inapoonekena inafaa....

hao uliowataja,
kwanza ni waoga kichizi, lakin pia ni wafuata mkumbo tu, hakuna anaeweza kuthubutu kusema ukweli ili waitwa wasaliti, na kisha watimuliwe chamani...

mostly,
hao ni kama water melon tu katika siasa za ndani ya chadema 🐒
 
Unawashwa sana na chadema alafu huna hoja za maana.au njaa imekua nyingi unataka ulipwe haraka haraka maana unaandika mada nyingi sana za ovyo zinazotokana na mawazo yako alafu unazilazimisha ziwe ukweli.
kwahivyo mihemko imekukurupua huko huoni hata mambo ya msingi na Muhimu sana ndani ya hoja mahususi mezani, yaani umeona giza tu 🤣

ni hiyari, uhuru na haki kwa mwana JF yeyote yule kuona au kuamini jambo fulani ni kweli ama si kweli....

so,
ushirikina wako fanya huko huko, na mihemko yako ishia nayo huko huko, sawa gentleman 🐒
 
wewe ndio huna iyo uliyoitaja,
sisi wataalamu, wabobezi na watafiti wa masula mbalimbali hususan ya kisiasa hatuhitaji mbambamba au ruhusa kutoka kwa yeyote yule ili kusema ukweli au kutoa ushauri, mapendekezo au nasaha pale inapobidi au inapoonekena inafaa....

hao uliowataja,
kwanza ni waoga kichizi, lakin pia ni wafuata mkumbo tu, hakuna anaeweza kuthubutu kusema ukweli ili waitwa wasaliti, na kisha watimuliwe chamani...

mostly,
hao ni kama water melon tu katika siasa za ndani ya chadema 🐒
Kiinglish kikupite kando na kiswahili majanga. Neno ni hiyo
 
Wewe mtu wa CCm unamamlaka yapi kuzungumzia mafanikio ya chadema. Au unakuta mtu wa Simba ati anaishauri Yanga iweze kufanikiwa. Huu ni uhayawani
katika masula mbalimbali hasa ya kitaalamu hususan yanayohusu vijanaa wanao shurutishwa, wanaozongwa zongwa, wanaofinyangwa finyangwa na kufanyiwa saikolojiko tortured na macatels ndani ya vyama vyao, mbobevu kama mimi siwezi kaa kimya kujaribu kunasua kijana mwenzangu ambae kwa historia inaonekana alikua ni vibrant lakin pia alikua bright sana kwenye siasa za kitaifa...

lakin sasaivi,
yuko tied miguu, mikono, na mdomo, amebanwa vizuri left, right and kijana kapoteza uelekeo kabisa na lengo ni kumdump nje akiwa hoi baada ya uchaguzi wa ndani wa chadema kwisha...

so,
ushauri wangu kitaalamu ni vyema akaachia ngazi sasa hivi ajipange kwaajili labda ya udiwani mwaka ujao 🐒
 
Back
Top Bottom