Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ—£οΈ sawa chawa
 
Sawa Mama CCM ndiyo kitu πŸ˜‚ usiwaongelee basi endelea na uchawa wako iko siku mtaelewa vizuri hii nchi
relax bas nyumbu tuliza kipago na mihemko kwa amani
 
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili moyo wako


Wizi kwa watu masikini sio akili. Mungu ametuweka hapa sio kuhudumia matumbo yetu na kukandamiza walalahoi. Ulivyokuwa mwana diplomasia ulikuwa unalipwa na serikali? Kama jibu ni ndiyo hizo ni pesa za walalahoi sio za chama au machawa. Mimi sijawahi kulipwa hapa senti moja na serikali na niko powa na sijawahi kupokea rushwa kama hao viongozi wa CCM. Hatuwezi kuwaachia watanzania umasikini halafu tuone powa tu kwasababu ya machawa, familia za watawala na vibaraka wao
 
Wizi kwa watu masikini sio akili. Mungu ametuweka hapa sio kuhudumia matumbo yetu na kukandamiza walalahoi. Ulivyokuwa mwana diplomasia ulikuwa unalipwa na serikali? Kama jibu ni ndiyo hizo ni pesa za walalahoi sio za chama au machawa
actually,
kwenye kazi hizi za kibobevu za kidiplomasia, kisiasa , kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa hua hatutegemei sana malipo ya aina yoyote, hata nilipokua mshauri chadema sikua nachukua pesa yoyote kwasababau katibu mkuu wakati huo aliwahi kunifundisha masuala fulani muhimu nami nikaona sina sababu ya kupokea malipo yoyote kutoka chadema, mpaka pale alipong"atuaka na chama hakikutaka kushauriwa tena mpaka kikawa hivo kilivyo sasa

so,
ni kazi ya kujitolea sana hususan kwa upande wangu ingawa napata pesa nyingi sana wakati mwingine
 


Sema ukweli tu umeanza uchawa upata kanafasi wakati huu wa uchaguzi. Hakuna mtu mwenye akili zake na ambaye hana maslahi binafsi ana support upuuzi wa kukataa katiba, demokrasia Tanzania kama ni kweli unairakia mema nchi hii. Labda uwe mjinga unayefuata mkumbo.

Sio Watanzania wote wajinga. Type yako mko wengi sana tunajua endelea na kampeni zako za uchawa
 
ujinga na mihemko baki nayo tu ikiwa inakupatia faida,

Lakini huo ndio Ukweli,
nchi hii ni yetu sote, na kwa mujibu wa katiba ya nchi, wale ambao wamepatiwa nafasi na ridhaa ya umma kufanya kazi kwaajili ya waTanzania wote, wachwe wafanye kazi hiyo kwa uhuru na amani...

na nyinyi wachache wenye mihemko, ghadhabu na kulalamika tu kila uchwao, unganeni na muwe na heshima kidogo mnapowasilisha malalamiko yenu yasio koma kwa wenye mamlaka πŸ’
 
Mjinga jinga sasa katiba ndiyoTatizo la nchi halafu unaongelea yaleyale. Hautanielewa umelewa unafiki na hii demokrasia fake eti diplomatπŸ˜‚πŸ˜‚

Hongeni CCM kwa chaguzi huru za 2020! Wanadiplosia wa nchi nyingine na waangalizi walisemajeπŸ˜‚πŸ˜‚

Matumbo kaziniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mjinga jinga sasa katiba ndiyoTatizo la nchi halafu unaongelea yaleyale. Hautanielewa umelewa unafiki na hii demokrasia fake eti diplomatπŸ˜‚πŸ˜‚
katika nchi inayofuata misingi ya sheria, nchi haiongozwi kwa hisia, mihemko au matakwa ya mtu au watu Fulani...

nchi ya kidemokrasia inaongozwa na katiba.

sasa kama katiba ina changamoto, utaratibu uko wazi na bayana kabisa wa kisheria....

maoni, mtazamo na mapendekezo yako yafuate utaratibu kisha wananchi waamue ikiwa inafaa au haifai,

Lakini sio kushinikiza na kujipa umuhimu usio kua na maana yoyote, utapuuzwa tu ili upate mihemko na ghadhabu zaidi πŸ’
 


Utaratibu wote umefuatwa tatizo ni Raisi na walaji wenzake hawataki katiba kwa manufaa binafsi. Yaani huo utaratibu unao sema ni lazima uheshimiwe na kila mtu lakini hawauheshimu. Na kwa katiba hii mbaya Raisi ndiyo kama Mungu sasa katiba itapatikanaje kama Raisi hataki wakati katiba hiyo hiyo mbaya imempa madaraka kupindukia! Sijui kama unaelewa tatizo lililopo.

Wewe unafikiri tatizo la katiba ni wapinzani? Ndiyo maana tulisema kuna tabia ya kujiaminisha unafiki kama vile ni kweli wakati ukweli uko wazi. Watu wastaarabu wakiuliza nyie machawa mnafanya haya ya uchawa kwa faida ya nani mnafikiri sisi ni wapinzani kumbe ni common sense tu
 
 

Attachments

  • c16d9c8a-62d6-4528-bb0f-84a2d5f9b41a.mov
    3.5 MB
Ndiyo maana tunataka katiba mpya! Utaratibu angalia wakuu wenu wa wilaya yaani huyu kasema ukweli mtupu sisi sio wajinga
 

Attachments

  • c16d9c8a-62d6-4528-bb0f-84a2d5f9b41a.mov
    3.5 MB
Ndiyo maana tunataka katiba mpya! Utaratibu angalia wakuu wenu wa wilaya yaani huyu kasema ukweli mtupu sisi sio wajinga
tunapounganisha na kufungua nchi hatuhitaji mzaha, bado katiba si kipaumbele kwa sasa,
hata hivyo imehusikaje hapo?πŸ’
 
Ndiyo maana tunataka katiba mpya! Utaratibu angalia wakuu wenu wa wilaya yaani huyu kasema ukweli mtupu sisi sio wajinga
katika jitihada za makusudi za Rais comrade Dr Samia Suluhu Hassan, za kuunganisha na kufungua nchi kitaifa na kimataifa, anae hujumu jitihada hizo kwa namna yoyote ile hata vumiliwa hata sekunde moja πŸ’
 
katiba si Muhimu wala kipaumbele cha maana sana cha waTanzania kwasasa,

ni Muhimu zaidi mahitaji yao ya msingi ya maji, elimu, afya, ulinzi na usalama n.k. tukashughulika nayo kwanza kabla ya mengine ambayo ni ya kisiasa zaidi ya vyeo na mamlaka πŸ’

ni muhimu zaidi maamuzi ya waTanzania yaka heshimiwa na serikali sikivu ya CCM iko kazini kuwapelekea Maendeleo Maendeleo πŸ’
 

Mlichofanya huyu mkuu wa wilaya wenu kaongea ukweli. Hili ni tatizo la katiba. Yaani hayo mambo muhimu ni yapi zaidi ya uhuru na haki!


View: https://youtu.be/NqHZMTdDxgg?si=mfvCvZ0ktaqHAlLQ
 
Mlichofanya huyu mkuu wa wilaya wenu kaongea ukweli. Hili ni tatizo la katiba. Yaani hayo mambo muhimu ni yapi zaidi ya uhuru na haki!


View: https://youtu.be/NqHZMTdDxgg?si=mfvCvZ0ktaqHAlLQ
katiba si kipaumbele kwasasa,
kazi kubwa ambayo ndio focus ya kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu, full stop...

mengine ni ushirikina fanyenyeni huko huko πŸ’
 
Mwenyekiti Mbowe aachie Uenyekiti and the rest of the colleagues will perform
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…