Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.

Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda heshima, hadhi na umarufu kidogo sana aliojipatia akiwa kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama. aachie ngazi apate fursa ya kujipanga kuomba nafasi za uwakilishi hususani udiwani, na atabaki akiheshimika zaidi...

Kwakweli katibu mkuu chadema ni mnyonge mno aliezongwa na kuzingirwa na wenye sauti na nguvu ya pesa ndani ya CHADEMA, si Mnyika yule wa escrow tena kadhibitiwa vizuri sana right left and center na macatels ndani ya chama, hafurukuti bana, kapoaaa.

Ni katibu mkuu mwepesi mno, hana vibe tena, wala hamasa au haiba ya ukatibu mkuu, hana misuli, wala meno ya kimamlaka ndani ya chadema, utendaji wake umepoa mno, uko limited na unatambulika na kuheshimika kwa uchache sana ndani na nje chadema hususani kwenye matukio ya shari tu.

Ni kama vile kafungwa mikono na kuzubwa mdomo kisiasa, hawezi kung"aka wala kumbwekea yeyote ndani ya CHADEMA ila yeye anabwekewa sana kwamba hatoshi na hana ubavu pale CHADEMA.

Kadhibitiwa vizuri na waandamizi wenye nafasi nyingine ndani ya chadema, hafurukuti kabisaa, unaweza kusema naibu wake ndie ana nguvu, sauti uthubutu na ushawishi zaidi yake.

Katibu Mkuu wa CHADEMA ni mpweke sana ndrugu na kaka yangu John Mnyika. wema, woga na ustaarabu wake nadhani umezidi kiwango cha ukatibu mkuu, umemfanya awe si lolote si chochote CHADEMA. Awepo CHADEMA sawa, asipokuwepo nayo sawa. hana mipango, si mbunifu, si mjenga hoja tena Mnyika. yawezekana amekua mtu mzima, but amekua vibaya.

Nadhani aliililia nafasi ya ukatibu mkuu angali bado kijana mdogo, Lakini akiwa na matarajio makubwa na matokeo yake akakuta hali ni ndivyo sivyo. nadhani ameshindwa kabisaa kutengeneza chemistry na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama, kitu ambacho kimemfanya awe mpweke mpaka sasa.

Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.

Kama kijana mtaalamu na mbobevu wa masuala haya ya siasa za Tanzania na hususani ndani ya chadema, namshauri kwa heshima, mungwana huyu rafiki yangu John J. Mnyika aachie ngazi mapema iwezekanavyo kadiri anavyoona inafaa.

Soma Pia:

Nafasi za uwakilishi mathalani udiwani zinamfaa zaidi, kuliko kuliko anachokifanya sasa hivi na hana sababu hata moja kusubiri kutoswa ndani ya chama chake wakati uchaguzi mkuu ukiwa umekwisha.
na kutoswa kwake kupo nje nje sana CHADEMA.

Ni muhimu kuamua na kuchukua hatua sasa, na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
🗣️ sawa chawa
 
mihemko na ghadhabu ni hatari kwa afya ya akili moyo wako:pedroP:

Wizi kwa watu masikini sio akili. Mungu ametuweka hapa sio kuhudumia matumbo yetu na kukandamiza walalahoi. Ulivyokuwa mwana diplomasia ulikuwa unalipwa na serikali? Kama jibu ni ndiyo hizo ni pesa za walalahoi sio za chama au machawa. Mimi sijawahi kulipwa hapa senti moja na serikali na niko powa na sijawahi kupokea rushwa kama hao viongozi wa CCM. Hatuwezi kuwaachia watanzania umasikini halafu tuone powa tu kwasababu ya machawa, familia za watawala na vibaraka wao
 
Wizi kwa watu masikini sio akili. Mungu ametuweka hapa sio kuhudumia matumbo yetu na kukandamiza walalahoi. Ulivyokuwa mwana diplomasia ulikuwa unalipwa na serikali? Kama jibu ni ndiyo hizo ni pesa za walalahoi sio za chama au machawa
actually,
kwenye kazi hizi za kibobevu za kidiplomasia, kisiasa , kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa hua hatutegemei sana malipo ya aina yoyote, hata nilipokua mshauri chadema sikua nachukua pesa yoyote kwasababau katibu mkuu wakati huo aliwahi kunifundisha masuala fulani muhimu nami nikaona sina sababu ya kupokea malipo yoyote kutoka chadema, mpaka pale alipong"atuaka na chama hakikutaka kushauriwa tena mpaka kikawa hivo kilivyo sasa :pulpTRAVOLTA:

so,
ni kazi ya kujitolea sana hususan kwa upande wangu ingawa napata pesa nyingi sana wakati mwingine:pedroP:
 
Sema ukweli tu umeanza uchawa upata kanafasi wakati huu wa uchaguzi. Hakuna mtu mwenye akili zake na ambaye hana maslahi binafsi ana support upuuzi wa kukataa katiba, demokrasia Tanzania kama ni kweli unairakia mema nchi hii. Labda uwe mjinga unayefuata mkumbo.

Sio Watanzania wote wajinga. Type yako mko wengi sana tunajua endelea na kampeni zako za uchawa
 
Sema ukweli tu umeanza uchawa upata kanafasi wakati huu wa uchaguzi. Hakuna mtu mwenye akili zake na ambaye hana maslahi binafsi ana support upuuzi wa kukataa katiba, demokrasia Tanzania kama ni kweli unairakia mema nchi hii. Labda uwe mjinga unayefuata mkumbo.

Sio Watanzania wote wajinga
ujinga na mihemko baki nayo tu ikiwa inakupatia faida,

Lakini huo ndio Ukweli,
nchi hii ni yetu sote, na kwa mujibu wa katiba ya nchi, wale ambao wamepatiwa nafasi na ridhaa ya umma kufanya kazi kwaajili ya waTanzania wote, wachwe wafanye kazi hiyo kwa uhuru na amani...

na nyinyi wachache wenye mihemko, ghadhabu na kulalamika tu kila uchwao, unganeni na muwe na heshima kidogo mnapowasilisha malalamiko yenu yasio koma kwa wenye mamlaka 🐒
 
Mjinga jinga sasa katiba ndiyoTatizo la nchi halafu unaongelea yaleyale. Hautanielewa umelewa unafiki na hii demokrasia fake eti diplomat😂😂

Hongeni CCM kwa chaguzi huru za 2020! Wanadiplosia wa nchi nyingine na waangalizi walisemaje😂😂

Matumbo kazini😂😂
 
Mjinga jinga sasa katiba ndiyoTatizo la nchi halafu unaongelea yaleyale. Hautanielewa umelewa unafiki na hii demokrasia fake eti diplomat😂😂
katika nchi inayofuata misingi ya sheria, nchi haiongozwi kwa hisia, mihemko au matakwa ya mtu au watu Fulani...

nchi ya kidemokrasia inaongozwa na katiba.

sasa kama katiba ina changamoto, utaratibu uko wazi na bayana kabisa wa kisheria....

maoni, mtazamo na mapendekezo yako yafuate utaratibu kisha wananchi waamue ikiwa inafaa au haifai,

Lakini sio kushinikiza na kujipa umuhimu usio kua na maana yoyote, utapuuzwa tu ili upate mihemko na ghadhabu zaidi 🐒
 
Utaratibu wote umefuatwa tatizo ni Raisi na walaji wenzake hawataki katiba kwa manufaa binafsi. Yaani huo utaratibu unao sema ni lazima uheshimiwe na kila mtu lakini hawauheshimu. Na kwa katiba hii mbaya Raisi ndiyo kama Mungu sasa katiba itapatikanaje kama Raisi hataki wakati katiba hiyo hiyo mbaya imempa madaraka kupindukia! Sijui kama unaelewa tatizo lililopo.

Wewe unafikiri tatizo la katiba ni wapinzani? Ndiyo maana tulisema kuna tabia ya kujiaminisha unafiki kama vile ni kweli wakati ukweli uko wazi. Watu wastaarabu wakiuliza nyie machawa mnafanya haya ya uchawa kwa faida ya nani mnafikiri sisi ni wapinzani kumbe ni common sense tu
 
Attachments

  • c16d9c8a-62d6-4528-bb0f-84a2d5f9b41a.mov
    3.5 MB

Ndiyo maana tunataka katiba mpya! Utaratibu angalia wakuu wenu wa wilaya yaani huyu kasema ukweli mtupu sisi sio wajinga
 
tunapounganisha na kufungua nchi hatuhitaji mzaha, bado katiba si kipaumbele kwa sasa,
hata hivyo imehusikaje hapo?🐒
 
Ndiyo maana tunataka katiba mpya! Utaratibu angalia wakuu wenu wa wilaya yaani huyu kasema ukweli mtupu sisi sio wajinga
katika jitihada za makusudi za Rais comrade Dr Samia Suluhu Hassan, za kuunganisha na kufungua nchi kitaifa na kimataifa, anae hujumu jitihada hizo kwa namna yoyote ile hata vumiliwa hata sekunde moja 🐒
 
Utaratibu wote umefuatwa tatizo ni Raisi na walaji wenzake hawataki katiba kwa manufaa binafsi. Yaani huo utaratibu unao sema ni lazima uheshimiwe na kila mtu lakini hawauheshimu. Na kwa katiba hii mbaya Raisi ndiyo kama Mungu sasa katiba itapatikanaje kama Raisi hataki wakati katiba hiyo hiyo mbaya imempa madaraka kupindukia! Sijui kama unaelewa tatizo lililopo.

Wewe unafikiri tatizo la katiba ni wapinzani? Ndiyo maana tulisema kuna tabia ya kujiaminisha unafiki kama vile ni kweli wakati ukweli uko wazi. Watu wastaarabu wakiuliza nyie machawa mnafanya haya ya uchawa kwa faida ya nani mnafikiri sisi ni wapinzani kumbe ni common sense tu
katiba si Muhimu wala kipaumbele cha maana sana cha waTanzania kwasasa,

ni Muhimu zaidi mahitaji yao ya msingi ya maji, elimu, afya, ulinzi na usalama n.k. tukashughulika nayo kwanza kabla ya mengine ambayo ni ya kisiasa zaidi ya vyeo na mamlaka 🐒

ni muhimu zaidi maamuzi ya waTanzania yaka heshimiwa na serikali sikivu ya CCM iko kazini kuwapelekea Maendeleo Maendeleo 🐒
 
Mlichofanya huyu mkuu wa wilaya wenu kaongea ukweli. Hili ni tatizo la katiba. Yaani hayo mambo muhimu ni yapi zaidi ya uhuru na haki!

View: https://youtu.be/NqHZMTdDxgg?si=mfvCvZ0ktaqHAlLQ
 
katiba si kipaumbele kwasasa,
kazi kubwa ambayo ndio focus ya kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu, full stop...

mengine ni ushirikina fanyenyeni huko huko 🐒
 
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.

Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda heshima, hadhi na umarufu kidogo sana aliojipatia akiwa kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama. aachie ngazi apate fursa ya kujipanga kuomba nafasi za uwakilishi hususani udiwani, na atabaki akiheshimika zaidi...

Kwakweli katibu mkuu chadema ni mnyonge mno aliezongwa na kuzingirwa na wenye sauti na nguvu ya pesa ndani ya CHADEMA, si Mnyika yule wa escrow tena kadhibitiwa vizuri sana right left and center na macatels ndani ya chama, hafurukuti bana, kapoaaa.

Ni katibu mkuu mwepesi mno, hana vibe tena, wala hamasa au haiba ya ukatibu mkuu, hana misuli, wala meno ya kimamlaka ndani ya chadema, utendaji wake umepoa mno, uko limited na unatambulika na kuheshimika kwa uchache sana ndani na nje chadema hususani kwenye matukio ya shari tu.

Ni kama vile kafungwa mikono na kuzubwa mdomo kisiasa, hawezi kung"aka wala kumbwekea yeyote ndani ya CHADEMA ila yeye anabwekewa sana kwamba hatoshi na hana ubavu pale CHADEMA.

Kadhibitiwa vizuri na waandamizi wenye nafasi nyingine ndani ya chadema, hafurukuti kabisaa, unaweza kusema naibu wake ndie ana nguvu, sauti uthubutu na ushawishi zaidi yake.

Katibu Mkuu wa CHADEMA ni mpweke sana ndrugu na kaka yangu John Mnyika. wema, woga na ustaarabu wake nadhani umezidi kiwango cha ukatibu mkuu, umemfanya awe si lolote si chochote CHADEMA. Awepo CHADEMA sawa, asipokuwepo nayo sawa. hana mipango, si mbunifu, si mjenga hoja tena Mnyika. yawezekana amekua mtu mzima, but amekua vibaya.

Nadhani aliililia nafasi ya ukatibu mkuu angali bado kijana mdogo, Lakini akiwa na matarajio makubwa na matokeo yake akakuta hali ni ndivyo sivyo. nadhani ameshindwa kabisaa kutengeneza chemistry na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama, kitu ambacho kimemfanya awe mpweke mpaka sasa.

Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.

Kama kijana mtaalamu na mbobevu wa masuala haya ya siasa za Tanzania na hususani ndani ya chadema, namshauri kwa heshima, mungwana huyu rafiki yangu John J. Mnyika aachie ngazi mapema iwezekanavyo kadiri anavyoona inafaa.

Soma Pia:

Nafasi za uwakilishi mathalani udiwani zinamfaa zaidi, kuliko kuliko anachokifanya sasa hivi na hana sababu hata moja kusubiri kutoswa ndani ya chama chake wakati uchaguzi mkuu ukiwa umekwisha.
na kutoswa kwake kupo nje nje sana CHADEMA.

Ni muhimu kuamua na kuchukua hatua sasa, na kama sio sasa ni sasa hivi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mwenyekiti Mbowe aachie Uenyekiti and the rest of the colleagues will perform
 
Back
Top Bottom