Pre GE2025 John Mnyika kapwaya sana Ukatibu Mkuu CHADEMA, nashauri aachie ngazi mara moja kwa heshima, itamsaidia zaidi kisiasa baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti Mbowe aachie Uenyekiti and the rest of the colleagues will perform
visionary, short and clear constructive criticism, for Chadema Party, if they really want to be a vibrant political party of the day 👊 🙏 💪
 
katiba si kipaumbele kwasasa,
kazi kubwa ambayo ndio focus ya kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ni kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu, full stop...

mengine ni ushirikina fanyenyeni huko huko 🐒

Acheni ndoto Samia wakati alipoingia alipewa muda na watu walikuwa wamoja kuliko sasa. Walipogundua hana nia nzuri ndiyo nchi sasa watu wanajitenga zaidi kumeanza unzanzibari, makundi , fukuza fukuza, uuzaji wa bandari kiholela, airport kuuzwa kuholela, utekaji, rushwa imezidi, maridhiano wananchi wamegundua yalikuwa fake, midahalo na kamati za mchakato wa katiba zilikuwa fake. Hakuna mtu ana mwamini Mama zaidi ya machawa. Hata sisi hapa katafute topic zetu za wakati ule tulikuwa na matumaini sana. Sasa badala ya nyie machawa na CCM kujiuliza sababu mnazidi kumuharibia Mama hata sisi ambao hatuna vyama Mama sasa tunaona myeyushaji

Hutaweza kushinda topic kama hizi hapa Jamii nipo hapa tangu 2006!
 
nia njema na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan iko pale pale,

kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu,

huo ushirikina wa sijui ubaguzi na nini huko bakini navyo wapiga ramli wakati wazalendo tunainyoosha nchini kwa mustakabali mwema wa umoja amani na utulivu wa wananchi wote waTanzania 🐒
 
Watanzania wengi hatuioni na wala si kweli kwa haya machache hapa
1. Kwanza kama Mama ana nia njema angehakikisha mikataba yote ya kitaifa ipo wazi kuepusha sitofahamu lakini mkataba wa bandari ni wa siri kwa manufaa binafsi na sio ya taifa
2. Mkataba wa uwanja wa Kia unafanywa kisirisiri na waziri anaye mwamimi wa kwao na mkuu wa mkoa kahakikisha naye ni wa kwao hii sio nia nzuri.
3. Maridhiano yaliishia pabaya baada ya wakina kinana na Mama kuanza kuwa waongo kila mtu anajua hili
4. Katiba hakuna mtu yeyote mwenye nia nzuri ambaye hatangulizi tumbo lake hajui umuhimu wa katiba ya nchi yetu. Yaani katiba asiyetaka sio mzalendo period.
5. Rushwa mama amekuwa mdekezaji mkubwa wa rushwa hakuna adhabu yeyote wale anayefugwa kwa rushwa. Mzalendo wa kweli tungeona seriousness ya haya
6. Yaani pamoja na kupitisha sheria ambayo haina nguvu Mama analazimisha Tamisemi na mkwe wake waendeshe chaguzi za seeikali za mitaa sio kwa faida ya nchi ili wamsaidie kuiba kura mwaka kesho

Tumetofautiana sana kwenye hili na mimi sio mwanasiasa ni mkweli tu
 
actually,
unajaribu kupotosha lakini pia hakuna athari zozote za kisiasa kwa huu upotoshaji dhaifu na duni sana...

kazi ya kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu inaendelea vizuri sana na sasa Tanzania ni miongni mwa mataifa ya ulimwengu yanayongoza Taasisi za kimataifa kama vile shirikisho la mabunge Dunia IPU, na hata shirika la la Afya duniani WHO n.k

hata hivyo,
upotoshaji dhaifu unajaribu kuufanya hususani kwenye uongo wa kupindukia kuhusu mikataba ambayo yote ni mali ya umma na kwahivyo iko wazi kwenye public domain, na unaweza kutembelea wizara mahususi kupata uelewa zaidi kupata mikataba hiyo,

mengine naona ramli, ushirikiana na porojo tupu 🐒
 
Sijui hata kama unajua wengine sisi tumekaa huku nje kuliko wewe na hizi taasisi tunazijua kuliko hata wewe! Mama alipata muda baada ya Magu kufariki ajautumia vizuri wewe bishana tu na ukweli jana nilikuwa Houston, Texas naongea na Watanzania zaidi ya 500 wengi wao wanasikitishwa na Tanzania ya sasa. Mwezi uliopita nilikuwa Arusha, Dar na Zanzibar hayo hayo wiki chache zilizopita nilikuwa Amsterdam nimeongea na diaspora sasa sijui wewe unaongea na nani? Hizo progress ndogo zingekuwepo tu ni mabadiliko ya kawaida lakini Tanzania bado haijakaa vizuri kisiasa na kiuchimi huo ndiyo ukweli. Jamaa wa IT na Tech wanaenda Kenya sio TZ. Ajira kwa vijana ni tatizo TZ . Ruhswa ya kupindukia , wananchi chinichini wanaanza kuamka kuanzia simiyu, wamasai etc utamaduni wa wizi huu wa kura iko siku utatoka puani lakini endelea na kuamini unacho amini sisi tutasimama kwenye ukweli. Pesa tunazo hatuna haja ya rushwa au uchawa tunapenda nchi tu

Hapa jamii umekosea sisi ni level nyingine sio bla bla. Yaani wewe chawa umejiunga 2023 mimi 2006 halafu unasema kama vile nime punic! Wewe utakuja utatuacha hapa

Sitakujibu tena nikuache na uchawa wako usije kukosa maslahi bure
 
umeongea na diaspora wanao muunga mkono Lisu awe mgombea urasi, au wale wanaompinga Mwenyekiti Mbowe na kumtishia kwamba akimnyima Lisu nafasi ya kugombea urasi basi wataacha kuichangia chadema?

au unazungumzia wale Diaspora waliojitenga na chadema na wanao wanaoiunga Sauti ya Watanzania inayoongozwa na Dr wilbroad P Slaa?

be specific gentleman 🐒

na ukirudi huko Texas,
wasamilie sana hao madugu zetu, waambie waache kiburi na vitisho vya kuigawa chadema...

zaidi sana,
si wajikusanye hata wakue elfu1 , mia5 mbona ni sawa tu na kijijini kimoja chenye watu wachache zaidi, na halafu wawe na hoja za maana sio kulalamika, mihemko na ghadhabu zisizo kua na mbele wala nyuma,

and let me make this clear, and confirm to you without fear of contradictions kwamba , Mama kiongozi wetu na kipenz cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan amefanikiwa pakubwa mno katika kuliunganisha taifa na kuifungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu...

Tanzania sasa inatambulika duniani, inaaminika na kuheshimika zaidi kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya nchini yetu na kwasabb hiyo Tanzania hivi sasa inaongoza Taasisi kubwa kubwa ulimwenguni, mathalani, Dr.Tulia Ackson ni Rais wa shirikisho la mabunge duniani IPU, lakini majuzi Dr.Faustine Andungulile amechaguliwa kua boss mpya wa WHO kanda ya Africa,

ni influence ya Dr Samia Suluhu Hassan ndio imewapatia waTanzania ushindi wa kishindo kwenye nafasi hizo zilizokua zikishindaniwa na mataifa mengine ulimwengu...

hayo malalamiko mengine uloyaibua,
ni changamoto ndogo ndogo za kawaida ndani ya mafanikio makubwa sana ya kimaendeleo yaliyofikiwa na serikali sikivu ya CCM,awamu ya 6 chini ya kiongozi wetu makini Dr.Samia Suluhu Hassan,

waleze bayana,
uchaguzi wa serikali za mitaa utakua wa kihistoria, huru, wa haki na wa wazi kuliko chaguzi zozote zilizowahi kufanyika humu nchini,

nzur zaid,
maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao a2025 yameanza vizuri kwenye maboresho ya daftari la kudumu,
Na ni matumaini ya kila Mtanzania kwamba,

Mama, Dr Samia Suluhu Hassan, atagombea ili wampatie zawadi Muhimu mno ya ushindi wa kishindo wa kihistoria atakapokua anamalizia muhula wake wa pili mamlakani, hawana zawadi nyingine ispokua hiyo tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
yaani katibu mkuu wa chama chenye wabunge zaidi ya mia4 akafanye mdahalo na vyama visivyo na mbunge hata moja, ni kichekesho na nikupoteza muda na hasa ukizingatia ratiba ngumu mno ya katibu Mkuu wa CCM ilivyo 🐒
Muda wa kuiba mali za umma anao
 
Muda wa kuiba mali za umma anao
tafuteni wa kupoteza nao muda bana, nadhani ccm ina kazi ya midahalo mingi zaidi na wananchi maeneo manalimbali ya nchi, huo uchawi wenu famyeni wenyewe na mbubujikwe machozi vizuri zaidi :pedroP:
 
umeongea na diaspora wanao muunga mkono Lisu awe mgombea urasi, au wale wanaompinga Mwenyekiti Mbowe na kumtishia kwamba akimnyima Lisu nafasi ya kugombea urasi basi wataacha kuichangia chadema?

au unazungumzia wale Diaspora waliojitenga na chadema na wanao wanaoiunga Sauti ya Watanzania inayoongozwa na Dr wilbroad P Slaa?

be specific gentleman 🐒

na ukirudi huko Texas,
wasamilie sana hao madugu zetu, waambie waache kiburi na vitisho vya kuigawa chadema...

zaidi sana,
si wajikusanye hata wakue elfu1 , mia5 mbona ni sawa tu na kijijini kimoja chenye watu wachache zaidi, na halafu wawe na hoja za maana sio kulalamika, mihemko na ghadhabu zisizo kua na mbele wala nyuma,

and let me make this clear, and confirm to you without fear of contradictions kwamba , Mama kiongozi wetu na kipenz cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan amefanikiwa pakubwa mno katika kuliunganisha taifa na kuifungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu...

Tanzania sasa inatambulika duniani, inaaminika na kuheshimika zaidi kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya nchini yetu na kwasabb hiyo Tanzania hivi sasa inaongoza Taasisi kubwa kubwa ulimwenguni, mathalani, Dr.Tulia Ackson ni Rais wa shirikisho la mabunge duniani IPU, lakini majuzi Dr.Faustine Andungulile amechaguliwa kua boss mpya wa WHO kanda ya Africa,

ni influence ya Dr Samia Suluhu Hassan ndio imewapatia waTanzania ushindi wa kishindo kwenye nafasi hizo zilizokua zikishindaniwa na mataifa mengine ulimwengu...

hayo malalamiko mengine uloyaibua,
ni changamoto ndogo ndogo za kawaida ndani ya mafanikio makubwa sana ya kimaendeleo yaliyofikiwa na serikali sikivu ya CCM,awamu ya 6 chini ya kiongozi wetu makini Dr.Samia Suluhu Hassan,

waleze bayana,
uchaguzi wa serikali za mitaa utakua wa kihistoria, huru, wa haki na wa wazi kuliko chaguzi zozote zilizowahi kufanyika humu nchini,

nzur zaid,
maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao a2025 yameanza vizuri kwenye maboresho ya daftari la kudumu,
Na ni matumaini ya kila Mtanzania kwamba,

Mama, Dr Samia Suluhu Hassan, atagombea ili wampatie zawadi Muhimu mno ya ushindi wa kishindo wa kihistoria atakapokua anamalizia muhula wake wa pili mamlakani, hawana zawadi nyingine ispokua hiyo tu 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Nilisema tumekuwa nchi ya waongo! Wazalendo wengine wanakubali hili
 
Attachments

  • 4a8beeed-9aed-4e5a-9192-9ab2d2a310fc.mp4
    13.4 MB

Wana diaspora wengi hawajali wala kujua vyama kihivyo wanajali nchi. Watanzania wote waliojiandikisha kwenye vyama vyote ni kama 20M tu lakini watanzania wengi hawana vyama tunataka katiba na mifumo mizuri b
 
Leo mwanaccm nimshauri wa chadema ambaye ni mtu anaeiombea chadema ife kila siku.
 
katiba si kipaumbele kwa sasa,

huenda tukacheki baada ya uchaguzi mkuu2025 :pedroP:
 
Leo mwanaccm nimshauri wa chadema ambaye ni mtu anaeiombea chadema ife kila siku.
actually,
ni mwanadiplomasia mbobevu, mwalimu na mshauri wa masuala ya siasa za vyama na demokrasia kutaifa na kimataifa:pedroP:
 
Back
Top Bottom