John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka.
Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!!
Mnyika umekaa kimya!!kulikoni?
Au ndio tunagawana mbao?
Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
 

 
M.kiti kapewa kazi anaifanya kazi na wapambe hadi wa mkopo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…