John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

Suala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .

Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .

Je hawa watu ni kina nani ?
Bila shaka kichwani mwako kuna error, kama jina lako.
 
Suala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .

Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .

Je hawa watu ni kina nani ?
CHADEMA wanatoa wapi silaha za moto? SMG na ma AK47
 
Suala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .

Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .

Je hawa watu ni kina nani ?
Tulieni albadir imeshasomwa mtatajana muda siyo mrefu
 
Mleta mada, kwa uhakika kichwani, hamna kitu. Kichwa chake ni cha kupitishia tu chakula kwenda tumboni.
Hawa UVCCM albadir imeanza kuwatafuna, jana Masauni ameshinda anazunguka tu kwenye kaburi la marehemu
 
Kwa hali hii hapo nyumbani kwako hata jirani yako akiamua kukuibia baiskeli na akawa anaitumia hapohapo bado unaweza usigundue, uwezo wako wa kujenga fikra za kipelelezi uko chini sana.
Huyu siyo mpelelezi ni chawa
 
Mtu amejitambulisha kwako ni polisi wanakuhitaji unawezaje kupinga arrest?.

Kama kweli Serikali iko serious, itoe tangazo public kupitia Rais na Waziri wa mambo ya ndani, marufuku kumuarrest mtu bila kuwepo mjumbe au mwanasheria wa mhusika, au hata waambatane na ndugu wa mhusika mpaka kituo cha karibu cha polisi maelezo rasmi yatolewa ndugu/mwanasheria/mjumbe wote wajue.
Hakika
 
Ndani ya Chadema kuna genge la ukharifu matukio ya sasa na yanyuma yanatoa taswira ya minyukano katika chama hicho

Ukiangalia jinsi alivyo potea Ben 8:00
Ukiangalia kifo cha Alfonce Mawazo
Ukalitazama Shambulio la TAL na matukio mengi yanayo wapata wafasi wengi ndani ya Chama kiujumla CDM kuna genge la kimafia kama ilivyo kwa CCM japo chama Tawala wamekuwa Advanced sana kwenye kutekeleza umafia wao wanajitahidi sana kupoteza ushahidi,
 
Lakini walisema alipigwa akishushwa na kufungwa pingu. Kama anawafahamu si angeshuka nao kirafiki?
 
Back
Top Bottom