Bila shaka kichwani mwako kuna error, kama jina lako.Suala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .
Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .
Je hawa watu ni kina nani ?
CHADEMA wanatoa wapi silaha za moto? SMG na ma AK47Suala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .
Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .
Je hawa watu ni kina nani ?
Mleta mada, kwa uhakika kichwani, hamna kitu. Kichwa chake ni cha kupitishia tu chakula kwenda tumboni.Kwahiyo awakubalie watu wa CHADEMA wampige pingu?
WTF
Tulieni albadir imeshasomwa mtatajana muda siyo mrefuSuala la kifo cha mzee Ali binafsi sioni kama linafanana na matukio mengine ya kutekwa .
Hawa watu ni either Wana Usalama wenzake au Wana CHADEMA .Kwa hali ilivyo Mzee wale watu angekuwa hawajui asingekubali kushuka kirahisi na kuongozana nao , na kuna uwezekano mkubwa wale watu anawajua .
Je hawa watu ni kina nani ?
Hawa UVCCM albadir imeanza kuwatafuna, jana Masauni ameshinda anazunguka tu kwenye kaburi la marehemuMleta mada, kwa uhakika kichwani, hamna kitu. Kichwa chake ni cha kupitishia tu chakula kwenda tumboni.
Huyu siyo mpelelezi ni chawaKwa hali hii hapo nyumbani kwako hata jirani yako akiamua kukuibia baiskeli na akawa anaitumia hapohapo bado unaweza usigundue, uwezo wako wa kujenga fikra za kipelelezi uko chini sana.
HakikaMtu amejitambulisha kwako ni polisi wanakuhitaji unawezaje kupinga arrest?.
Kama kweli Serikali iko serious, itoe tangazo public kupitia Rais na Waziri wa mambo ya ndani, marufuku kumuarrest mtu bila kuwepo mjumbe au mwanasheria wa mhusika, au hata waambatane na ndugu wa mhusika mpaka kituo cha karibu cha polisi maelezo rasmi yatolewa ndugu/mwanasheria/mjumbe wote wajue.
Sikuwa nafahamu kuwa walimpiga wakiwa wanamtoa kwenye basi.Lakini walisema alipigwa akishushwa na kufungwa pingu. Kama anawafahamu si angeshuka nao kirafiki?
mama yenu si mnamsifia anaingia jikoni na kupika? mnadanganywa na kuchezewa sana, pure evil …
Sikuwa nafahamu kuwa walimpiga wakiwa wanamtoa kwenye basi.
Kikosi kazi ni kile kile.
Amechukuliwa kwani Polisi ndugu zake?