PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.

Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
 
Mambo mengine ni kupoteza muda tu. Mtu aende akamhoji aliyemteua na kumhakikishia ugali mzuri, nyumba nzuri na marupurupu kibao kweli?.
 
Naona kila kete inayosukumwa na kijani inakwama!!

Walimpiga risasi Lissu ikashindikana

Wakachukua kila kitu kwenye uchaguzi lakini wakashindwa kutawala

Wakampandikiza Mbowe na wenje wakaanguka

Sasa wanataka kibanzi kilicho ndani ya jicho la wenzao kitoke wakati wao macho yao yamejaa boriti!!

Mwaka huu na bado kufika mwezi 8 mbona katiba mliyoifungia mandazi 2014 mtaziokota karatasi zake zote mzilete twende kwa wananchi!!

Mechi ndio kwanza dakika ya 10!!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.

Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
kumbe!, dah!🐒
 
H

j
Kumbe Mnyika naye amekuwa jinga km hao nyumbu anawaongoza
 
Mnyika kanyagia kabisa!
20240320_090734.jpg
 
Jaji Mtungi kajiaibisha sana. Yaani kunya anye bata ila kuku amecheua.
 
Back
Top Bottom