Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mambo mengine ni kupoteza muda tu. Mtu aende akamhoji aliyemteua na kumhakikishia ugali mzuri, nyumba nzuri na marupurupu kibao kweli?.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
kumbe!, dah!🐒Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
jKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
Hj
Kumbe Mnyika naye amekuwa jinga km hao nyumbu anawaongoza
Wapi mkuu wamekana hawaWameshakana, hawajamtoa mjumbe yeyote.
SureShida ya kutumika unajikuta unaonekana mjinga tu.
Official document haipo popote kwenye tovuti za Tume, zaidi ya mitandaoni.Wapi mkuu wamekana hawa
Official document haipo popote kwenye tovuti za Tume, zaidi ya mitandao
OkokOfficial document haipo popote kwenye tovuti za Tume, zaidi ya mitandaoni.