Msajili na tuCCM wanajitekenya na kucheka wenyewe.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
wno Jaji Mtungi? He doesn't know why he is in thatposition how can he explain to you?? Mnyika asking the wrong guy.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
Hj
Kumbe Mnyika naye amekuwa jinga km hao nyumbu anawaongoza
Msajiri hii hakuiona😀😀Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika.
Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa BAWACHA na BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini yanayofanyika Masasi, ambapo amembatana na Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.
Sijawahi kusikiaHivi alishawahi kusema lolote lile