John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

Mnyika mwenyewe kadata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu mbishi anayeweza kuivusha CHADEMA kwa sasa ni Lema na Lissu japo lissu bado ana uoga flani hivi.
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Tuache kujidanganya,anaweza kufungwa ama asifungwe.Hata akifungwa hakuna tunaloweza kufanya kama watanzania.Ndugu sisi watanzania ni sayari nyingine kabisa,maisha yatasonga kama kawaida.
Siombei afungwe
 

hapo ndiyo umefikili hadi mwisho?
 
Mboe na sabaya watakuwa pamoja hakika wanaend kuwa marafiki huko waendko
 
Nilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.

Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
Wanatakiwa kurudi kufanya alichowashauri Kigogo2014
 
Hewalaaa kumbe Chadema ni chama cha "wabishi nguli" na si siasa......[emoji1787]
Sasa hivi maji yamekorogeka hasa kwa wamachinga.Inabidi atokee chizi mmoja awatie sumu waliamshe[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]
 
Sasa hivi maji yamekorogeka hasa kwa wamachinga.Inabidi atokee chizi mmoja awatie sumu waliamshe[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23]
MACHIZI ni wa kukamatwa na kupelekwa kusaidiwa matibabu Mirembe ,Muhimbili ama Lutindi....🤣
 
Ukiona jaji anajitoa ujue ni dalili njema, wa kwanza kajitoa wa pili nae wa tatu atajitoa Tena, na WA mwisho kesi itatupiliwa mbali, Me sio shabiki wa chadema , ila nasema mbowe sio gaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ilipofikia haimhitaji Mnyika. Ni Kila mwanachama na mpendwa kwa wakati na nafasi yake.
 
Kwahiyo wamachinga watumike kama chambo? Wakati mbowe alisema watu wote TZ wachanjwe kwa lazima akasahau kwamba yeye anaongoza chama cha Demokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…