P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,703 Reaction score 3,307 Aug 11, 2021 #61 Mkubwa hakombi mboga,Kesi ya Mbowe haingesikika?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 11, 2021 #62 Sasa mbona majibu yako wazi kabisa! Wewe angalia tu hotuba zote mbili kwa makini! halafu utagundua mapema sana nani alikuwa muongo na nani alikuwa mkweli, nani alikuwa anapiga porojo, nk.
Sasa mbona majibu yako wazi kabisa! Wewe angalia tu hotuba zote mbili kwa makini! halafu utagundua mapema sana nani alikuwa muongo na nani alikuwa mkweli, nani alikuwa anapiga porojo, nk.
Edward Sambai JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 2,823 Reaction score 3,831 Aug 11, 2021 #63 Mbona muongo anaonekana wazi kabisa
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Dec 25, 2021 #64 Shuleless said: ccm wanajiona wameyapatia maisha, ipo siku...watalia na kusaga meno. Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3]
Shuleless said: ccm wanajiona wameyapatia maisha, ipo siku...watalia na kusaga meno. Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3]