John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”

John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”

Mkubwa hakombi mboga,Kesi ya Mbowe haingesikika?
 
Sasa mbona majibu yako wazi kabisa! Wewe angalia tu hotuba zote mbili kwa makini! halafu utagundua mapema sana nani alikuwa muongo na nani alikuwa mkweli, nani alikuwa anapiga porojo, nk.
 
Back
Top Bottom