Pre GE2025 John Mnyika: Siku kama ya leo BAWACHA mlimpa Rais tuzo. Mwanamke mliyemuamini alikuwa mnafiki. Anastahili kuvuliwa ile tuzo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia.

Mnyika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake amesema kuwa BAWACHA wanatakiwa kumvua ile tuzo ambayo walimpa Rais Samia mwaka 2023 kwani alichoahidi hakutimiza

Mnyika alisema:

"Siku kama ya leo mlikuwa na maadhimisho Kilimanjaro na kwa sababu pengine ya dalili zilizokuwepo kwenye maridhiano, BAWACHA mkafanya uamuzi wa kumpa Rais tuzo. Tuzo ya BAWACHA Ingempa motisha zaidi lakini ile motisha ikawa ni uharibifu zaidi'

Mwanamke mwenzenu mliyemuamini alikuwa mnafiki, toka 2023 na sasa 2025. Kwenye hili sitaki kuwaelekeza ila naweza kuwashauri kwakweli anastahili kuvuliwa ile tuzo aliyopewa Tarehe 8 Mwezi wa 3 mwaka 2023 kwa sababu yale aliyoashiria hayakuwa kama alivyoyaashiria"

Mnyika asizungushe, tuzo samia alipewa na mbowe. BAWACHA lilikuwa daraja la kupitia tu.
 
Wakuu,

Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia.

Mnyika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake amesema kuwa BAWACHA wanatakiwa kumvua ile tuzo ambayo walimpa Rais Samia mwaka 2023 kwani alichoahidi hakutimiza

Mnyika alisema:

"Siku kama ya leo mlikuwa na maadhimisho Kilimanjaro na kwa sababu pengine ya dalili zilizokuwepo kwenye maridhiano, BAWACHA mkafanya uamuzi wa kumpa Rais tuzo. Tuzo ya BAWACHA Ingempa motisha zaidi lakini ile motisha ikawa ni uharibifu zaidi'

Mwanamke mwenzenu mliyemuamini alikuwa mnafiki, toka 2023 na sasa 2025. Kwenye hili sitaki kuwaelekeza ila naweza kuwashauri kwakweli anastahili kuvuliwa ile tuzo aliyopewa Tarehe 8 Mwezi wa 3 mwaka 2023 kwa sababu yale aliyoashiria hayakuwa kama alivyoyaashiria"

CHADEMA ya Lisu Haina mvuto
 
CHADEMA ya Lisu Haina mvuto
Na bado mnacheza beats zake ✌️✌️✌️
images (1).jpeg
 
Mtatukana matusi yote mamamamae zenu, lkn Samia atabaki juu Hadi mwisho wa pumzi zenu. Anatafuta njia ya kuzungumzia na mama Samia huyo nyumbu wa lissu.....aelewe, Samia Yuko busy na mambo ya msingi na alishawapotezea nyie mafala muda mwingi sana. Amewajua kuwa ni washenzi msiofadhilika. Nyie ni wanafiki no.1 wa@#$@nzi wakubwa.
Natamani angekuwepo JPM, tusi kama lazima angepyambyika nyumbu huyo mjinga na mpumbavu asiyejielewa mwenye mihemko ya kike.
 
Halafu kwa akili zenu, uchafu ule Samia aupeleke wapi?!!! Kauchukueni km Bado hajauchoma moto.
 
Mtatukana matusi yote mamamamae zenu, lkn Samia atabaki juu Hadi mwisho wa pumzi zenu. Anatafuta njia ya kuzungumzia na mama Samia huyo nyumbu wa lissu.....aelewe, Samia Yuko busy na mambo ya msingi na alishawapotezea nyie mafala muda mwingi sana. Amewajua kuwa ni washenzi msiofadhilika. Nyie ni wanafiki no.1 wa@#$@nzi wakubwa.
Natamani angekuwepo JPM, tusi kama lazima angepyambyika nyumbu huyo mjinga na mpumbavu asiyejielewa mwenye mihemko ya kike.
Heeee...! Are u mentally sick?
 
Back
Top Bottom