Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia.
Mnyika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake amesema kuwa BAWACHA wanatakiwa kumvua ile tuzo ambayo walimpa Rais Samia mwaka 2023 kwani alichoahidi hakutimiza
Mnyika alisema:
"Siku kama ya leo mlikuwa na maadhimisho Kilimanjaro na kwa sababu pengine ya dalili zilizokuwepo kwenye maridhiano, BAWACHA mkafanya uamuzi wa kumpa Rais tuzo. Tuzo ya BAWACHA Ingempa motisha zaidi lakini ile motisha ikawa ni uharibifu zaidi'
Mwanamke mwenzenu mliyemuamini alikuwa mnafiki, toka 2023 na sasa 2025. Kwenye hili sitaki kuwaelekeza ila naweza kuwashauri kwakweli anastahili kuvuliwa ile tuzo aliyopewa Tarehe 8 Mwezi wa 3 mwaka 2023 kwa sababu yale aliyoashiria hayakuwa kama alivyoyaashiria"