LGE2024 John Mnyika: Takwimu alizotoa Waziri Mchengerwa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kura ni za uongo!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
addict wa malalamiko inafaa uwe sobar house saivi wewe for rehabilitation πŸ’
Nasema hivi, huo uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Na wananchi wameonyesha dhahiri kuwa hakuna uchaguzi bali ukhanithi.
 


Chadema mambo mengine mnafeli Sana

So wakijitokeza wengi au wasipojitokeza kabisa Nani anapata faida au Nani anapata hasara?

Chadema mna Hamu kusikia ni 2% Tu wamejiandikisha eeh nyie mnabenefit na nini?

Okay let's say watu hawajakwenda kujiandikisha na uchaguzi hautofanyika so viongozi waendelee

Eeh nyie mna wenyeviti wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…