BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Mkwe ana mpigania ma mkwe hata kwa kusema uongoTena Uongo wa kiwango cha chini sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwe ana mpigania ma mkwe hata kwa kusema uongoTena Uongo wa kiwango cha chini sana!
Nasema hivi, huo uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Na wananchi wameonyesha dhahiri kuwa hakuna uchaguzi bali ukhanithi.addict wa malalamiko inafaa uwe sobar house saivi wewe for rehabilitation 🐒
Ujinga ni mzigoKatika wanachama hewa 15m wa CHADEMA ni wangapi wamejiandikisha?
Kwani ni uchaguzi wa vyama? Naona watu wanauliza eti ccm mara Chadema eangspiKwani CCM wamejiandikisha wangapi?
Huko kwenu makalani wanauliza chama chako?
Ndio niliuliza kama wao wanaulizwa vyama vyao?Kwani ni uchaguzi wa vyama? Naona watu wanauliza eti ccm mara Chadema eangspi
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo.
Mnyika amesema kuwa kauli ya Mchengerwa alidanganya aliposema kuwa kuna mwamko mkubwa wa wananchi katika zoezi la andikishaji na kwamba asilimia 45 ya watu walikuwa wameshajiandikisha kwenye daftari.
Soma pia: Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!
"Mwamko wa wananchi kwenda kujiandikisha ni mdogo. Hata takwimu alizotoa Waziri kwamba watu wameajiandikisha ni asilimia 45 ya watu waliopaswa kujiandikisha ni takwimu uongo. Waziri ametoa takwimu za uongo. Sasa kwa sababu Waziri ametoa takwimu za uongo kwamba mwamko ni mkubwa sana kiasi kwamba nusu ya wananchi wamejiandikisha wameanza kutoa maelekezo huko chini"
Source: Jambo TV