DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
MTANYOOKSA MWAKA HUUKumbe lile zuio linaendelea ? Ni noma.
Mnyika ni Kaimu au ni Katibu Mkuu? Mnanichanganya mjue.
Kaimu Katibu mkuuKumbe lile zuio linaendelea ? Ni noma.
Mnyika ni Kaimu au ni Katibu Mkuu? Mnanichanganya mjue.
Africa ni laana tupuKumekucha
Rais Ruto: Eti kuna Jaji amezuia mapolisi kutumia maji ya WASHAWASHA na mabomu ya machozi wakati yeye mwenyewe Walinzi wake hapo mahakamani na nyumbani ni Polisi, sijui mtu wa wapi huyu?
🐼😂
NI KAIMU CHADEMA HAWANA KAIBU MKUU NI KAIMUKumbe lile zuio linaendelea ? Ni noma.
Mnyika ni Kaimu au ni Katibu Mkuu? Mnanichanganya mjue.
Kwa nini ?NI KAIMU CHADEMA HAWANA KAIBU MKUU NI KAIMU
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 14, 2025 ambapo ahirisho la kesi hiyo limekuja baada ya Mawakili wa upande wa waleta maombi kuiomba mahakama kupata muda wa kwenda kuisoma na kutafakari barua iliyopelekwa mahakamani hapo na upande wa wajibu maombi (Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu).
Pia soma ~ Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14, 2025
Hivi kwanini tumeshitakiwa? Nadhani ni sahihi sasa CHADEMA tutafute hakimu au majaji kutoka Ubelgiji,Hii kesi ni maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM Taifa
EAC ya zamani Tanganyika ndio ilikuwa Shule kuu ya Sheria..Chadema wasiweke mapingamizi yanayowapotezea muda.
..wamuache Jaji aendelee muda si mrefu kesi itamshinda.
..mamlaka zinapofungua kesi za uongo na kijinga zinakuwa zimelenga kupoteza muda, hazijalenga uhukumiwe.
.. sasa mshtakiwa ukiwa unaweka mapingamizi unakuwa unazisaidia mamlaka kukupotezea muda, na kukutesa.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte
EAC ya zamani Tanganyika ndio ilikuwa Shule kuu ya Sheria
Sijajua kwa sasa hali ikoje pale The Hill
Jaji hawakutaki - ondoka unang'ang'ania nini ndugu? Kesi si zipi nyingi tu utapewa nyingine - hii ya CDM achana nayo kwani wanasema we una agenda ya siri. kuna ugumu gani kwa ww kukaa pembeni.?
Kwani ni nani anapangia kesi Majaji kati ya Msajili na Mtendaji mkuuJaji hawakutaki - ondoka unang'ang'ania nini ndugu? Kesi si zipi nyingi tu utapewa nyingine - hii ya CDM achana nayo kwani wanasema we una agenda ya siri. kuna ugumu gani kwa ww kukaa pembeni.?
CCM wanajichelewesha wenyewe sababu bila CDM kushiriki huu uchaguzi Mkuu hautakuwa na hadhi yoyote sana sana utakuwa sawa na ule wa kwao wa maoni...zoezi la kesi kupangiwa Jaji Mpya litachukua muda huku hukumu ya kuizuia Cdm kufanya siasa ikiendelea kukaziwa.
..ninapingana na maombi ya Cdm kumkataa Jaji. Ni afadhali wangeendelea na kesi.
Tutatafuta wa kutoka ChinaHivi kwanini tumeshitakiwa? Nadhani ni sahihi sasa CHADEMA tutafute hakimu au majaji kutoka Ubelgiji,