Inaniridhisha sana, kama umeelewa ujumbe niliokua.Punguza kuwaza ndugu ila ongeza kufikiri
Inaniridhisha sana, kama umeelewa ujumbe niliokua.Punguza kuwaza ndugu ila ongeza kufikiri
Fanyia kazi ushauri wangu utakuja kunikumbuka tuInaniridhisha sana, kama umeelewa ujumbe niliokua.
Nakuongeza kwa kunielewa haraka namna hiyo. Nilikuwa na mashaka juu ya uwezo wa uelewa wako.Fanyia kazi ushauri wangu utakuja kunikumbuka tu
Uko sahihiKumbe lile zuio linaendelea ? Ni noma.
Mnyika ni Kaimu au ni Katibu Mkuu? Mnanichanganya mjue.
Hujui kitu uchaguzi ni takwa la kikatiba haisemi chama gani kishiriki na kipi kisishirikiCCM wanajichelewesha wenyewe sababu bila CDM kushiriki huu uchaguzi Mkuu hautakuwa na hadhi yoyote sana sana utakuwa sawa na ule wa kwao wa maoni.
Wameshauriwa wafute haya makesi, wakae na CDM waangalie ni nini kinaweza kufanyika kibadikishwe kabla ya uchaguzi- then kipenga kipulizwe Samia hapa Lissu hapa wananchi waamue nani anafaa.
Kuendelea kukomaa kwao hakuwasaidii chochote.
Ahsante sana kwa kufanyia kazi ushauri. You are a good studentNakuongeza kwa kunielewa haraka namna hiyo. Nilikuwa na mashaka juu ya uwezo wa uelewa wako.
One term president kwa ujinga wakeKumekucha
Rais Ruto: Eti kuna Jaji amezuia mapolisi kutumia maji ya WASHAWASHA na mabomu ya machozi wakati yeye mwenyewe Walinzi wake hapo mahakamani na nyumbani ni Polisi, sijui mtu wa wapi huyu?
🐼😂
Tuna sheria mbovu sana nchi hii kutokana na mahakama kufanywa kama moja ya taasisi na serikali hii ya CCM. Hakuna haki kutoka kwa makada hao wa CCM, Mahakama za Tanzania zinaendeshwa na serikali, hivyo msitegemee haki kutendeka. Kumbukeni maneno ya Rostam Aziz, kuwa viongozi wanaweza kupiga simu kutaka kile wanachotaka kuwa na hakimu/judge hawezi kukataa. Huyo hakimu au Jaji Hamidu Mwanga anayesimamia hiyo kesi ni kada mkubwa wa CCM, Hivi mnategemea atoe haki?Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 14, 2025 ambapo ahirisho la kesi hiyo limekuja baada ya Mawakili wa upande wa waleta maombi kuiomba mahakama kupata muda wa kwenda kuisoma na kutafakari barua iliyopelekwa mahakamani hapo na upande wa wajibu maombi (Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu).
Pia soma ~ Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14, 2025
Sawa Mkuu. Lakini wenye akili ndogo bado tunafikiria ni kwa nini Serikali haipendi kufuata hiyo Katiba kwa kuweka vipengere vya Kipumbavu kwenye tume ya uchaguzi ambavyo havimpi haki Raia ya kuchagua na kuchaguliwa kama Katiba inavyoelekeza.Hujui kitu uchaguzi ni takwa la kikatiba haisemi chama gani kishiriki na kipi kisishiriki
Chama kiko huru kushiriki au kutoshiriki sio kesi kikatiba.Hata CCM na Chadema wote wangesusa uchaguzi kikabaki CHAUMMA tu.uchaguzi ungefanyika na ungekuwa halali na CHAUMMA angetangazwa mshindi aliyeshinda kihalali labisa
Sio ohh kama CCM na Chadema wamesusa basi hamna uchaguzi ni kama kura za msoni tu
Mjinga wewe akili huna hujui katiba inachosema
Huu ninuchaguzi wa kikatiba sio wa kati ya CCM na Chadema tu.Hata wasuse wote kiki nitatiki October atakayekuwepo kugombea awe CHAUMMA au yeyote
Naunga mkono hojaNgozi nyeusi ndio laana mkuu.
Maza ni mshirikina haswa siyo wa kitoto kitotomwisho wa siku ataangukia pua. Hii dunia ni ya Mungu. Mungu Yuko upande wa haki.
msaada wa majini hautomfikisha popoteMaza ni mshirikina haswa siyo wa kitoto kitoto
Ndiyo umemfikisha sahivi yupo juu snmsaada wa majini hautomfikisha popote
kwani kuna uchaguzi?Watazungushwa hadi uchaguzi upite.