John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi


..huwezi kujua madudu wanayotaka kuyaficha ni muhimu kwa Ccm kiasi gani, ukilinganisha na athari za kufanya uchaguzi usiokuwa na maana / credibility.
 
Agree!
 
..wakati wa EAC na University of East Africa.

..Chancellor Julius Nyerere.

..Utabibu Makerere Uganda.

..Uhandisi Nairobi Kenya.

..Sheria Dar Es Salaam Tanzania.

Cc Nguruvi3
Na ilikuwa ina hadhi sana Duniani. Moja ya matokeo mabaya ya kuvunjika kwa EAC ni Elimu

Tanzania tumeendelea kufanya makosa ! Badala ya kuimarisha Chuo Kikuu tumeanzisha tu-vyuo vingi visivyo na maana kwa sera za Kikwete. UDSM katika rank za Africa ni 38, sasa fikiria vingine vipoje.

UDSM ingeweza kubaki kama chuo mama kukiwa na College zake nchi nzima.
 
Uamuzi wa jajinkujitoa utachukua miazi miwili. Jaji mpya kupanga mwezi mmoja. Kusikiliza kesi mwezi mmoja. Yote hayo yatakamilika na uchaguzi utakua ushapita.
 

..kuna tukio la Rais wa WB Robert McNamara kuishangaa Tanzania wakati alipoelezewa historia ya Udsm.

..Robert McNamara alishangaa kwanini Sheria ni kitivo kianzilishi cha Udsm, badala ya kilimo, ikiwa uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania ni kilimo.

..mimi nimekata tamaa na vyuo vyote, matumaini yangu nimeelekeza Chuo Kikuu cha Sokoine.
 
McNamara hakuambiwa utaratibu ulivyo kuwa wakati wa Jumuia hiyo ya EAC? Mbona angeelewa vizuri tu!

Hilo halikuwa tatizo la kutumiwa kuelezea hali ya leo inayolikabili taifa hili.

Vitivo vingine vilipo anzishwa vilifanya kazi vizuri tu; kwa mfano, kitivo cha Tiba, hapo Muhimbili; Sokoine ilifanya vizuri tu; na hata Uhandisi walikuwa vizuri kabisa.

Uharibifu umeanza walipoingizwa wanasiasa kuwa viongozi wa vyuo.

Na sasa hivi ndio akina Kikwete wanafanyia ngojera zao huko huko! Utategemea kitu gani kutoka kwa kiongozi kama huyo!
 
Hii ngoma itapigwa dana dana hadi uc haguzi upite
 
Acha tu muda uongezwe hatuna haraka maana hata uchaguzi kihuni hatushiriki.
 
Kwamba Lissu agombee kupitia kwetu CHADEMA.Sidhani kama anafaha kuongoza nchi ..Lisssu ni mzuri wa harakati ila sio kuongoza nchi
 
Kwamba Lissu agombee kupitia kwetu CHADEMA.Sidhani kama anafaha kuongoza nchi ..Lisssu ni mzuri wa harakati ila sio kuongoza nchi
Haya umekaririshwa wapi; mbona unayaimba tu kama kasuku!
Mara moja moja, jaribu kuitumia akili yako mwenyewe, uliyo jaaliwa na muumba wako.
 
Haya umekaririshwa wapi; mbona unayaimba tu kama kasuku!
Mara moja moja, jaribu kuitumia akili yako mwenyewe, uliyo jaaliwa na muumba w
Punguza kuwaza ndugu ila ongeza kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…