John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

Hujui kitu uchaguzi ni takwa la kikatiba haisemi chama gani kishiriki na kipi kisishiriki

Chama kiko huru kushiriki au kutoshiriki sio kesi kikatiba.Hata CCM na Chadema wote wangesusa uchaguzi kikabaki CHAUMMA tu.uchaguzi ungefanyika na ungekuwa halali na CHAUMMA angetangazwa mshindi aliyeshinda kihalali labisa

Sio ohh kama CCM na Chadema wamesusa basi hamna uchaguzi ni kama kura za msoni tu

Mjinga wewe akili huna hujui katiba inachosema

Huu ninuchaguzi wa kikatiba sio wa kati ya CCM na Chadema tu.Hata wasuse wote kiki nitatiki October atakayekuwepo kugombea awe CHAUMMA au yeyote
 
Kumekucha

Rais Ruto: Eti kuna Jaji amezuia mapolisi kutumia maji ya WASHAWASHA na mabomu ya machozi wakati yeye mwenyewe Walinzi wake hapo mahakamani na nyumbani ni Polisi, sijui mtu wa wapi huyu?

🐼😂
One term president kwa ujinga wake
 
Tuna sheria mbovu sana nchi hii kutokana na mahakama kufanywa kama moja ya taasisi na serikali hii ya CCM. Hakuna haki kutoka kwa makada hao wa CCM, Mahakama za Tanzania zinaendeshwa na serikali, hivyo msitegemee haki kutendeka. Kumbukeni maneno ya Rostam Aziz, kuwa viongozi wanaweza kupiga simu kutaka kile wanachotaka kuwa na hakimu/judge hawezi kukataa. Huyo hakimu au Jaji Hamidu Mwanga anayesimamia hiyo kesi ni kada mkubwa wa CCM, Hivi mnategemea atoe haki?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sawa Mkuu. Lakini wenye akili ndogo bado tunafikiria ni kwa nini Serikali haipendi kufuata hiyo Katiba kwa kuweka vipengere vya Kipumbavu kwenye tume ya uchaguzi ambavyo havimpi haki Raia ya kuchagua na kuchaguliwa kama Katiba inavyoelekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…