Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Malaya weweLisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu π
It is only the lips that lick the uncleaned ass can utter these nasty words. Phew!!!Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu π
relax gentleman πMalaya wewe
calm down gentleman,It is only the lips that lick the unwashed ass can utter these nasty words. Phew!!!
uko sahihi gentleman πYes.... Akikata rufaa atakuwa within range..... Itasikilizwa early February 2026 baada ya wiki ya sheria
Na wasipokata rufaa, Jamhuri ikate rufaa. Huu utando wa buibui wa kisheria kadri unavyojaa, ndivyo unakufunga funga kama nzi anavyofungwa na buibui. Lazima mtu aombe pooo!uko sahihi gentleman π
Pamoja na kuandika haya mashudu still unaenda kulipwa posho kwa kazi hii π’π’π’Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu π
ambwenyenye ya magharibi hivi sasa ndio yanagundua kumbe walikua wanamfadhili lofa πPamoja na kuandika haya mashudu still unaenda kulipwa posho kwa kazi hii π’π’π’
πLisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu π
Tlaatlaah naona baada ya wajumbe kukula kichwa umerudi kwa Kasi ya ajabu. Karibu tena jukwaani.Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu π
Sisi ni nani tukubishie wewe mke wakeLisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.
uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu [emoji205]
Chadema imejazwa mapandikizi mengi sana. Huyu kijana wa Kikwete anataka tu kurefusha mambo! Kuna haja gani ya kushinda mahakamani kila siku? Waende Mahakamani Lissu akubali alitaka kufanya uhaini kwa kupindua nchi kwa maneno ili hukumu itoke haraka hata kabla ya uchaguzi.Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu.
Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu
Amesema kuwa wataangalia namna ya kushauriana na Tundu Lissu waangalie namna wanavyoweza kukatia rufaa maamuzi hayo.
Still unazid kukaa uchi bila kujijua unabwatuka tu!! Lofa ambae mnapambana nae na kumuweka gerezani ili asizishe ushawishi kwa Watanzania zaid ya nusu ya idadi yote!! Mwenye akili ya kawaida hawez mmbeza Lissu cz impact yake inajulikana na kuonekana kwa kila raia, haiwezekan upambane na lofa every where!!!ambwenyenye ya magharibi hivi sasa ndio yanagundua kumbe walikua wanamfadhili lofa π