Document hii Law on Protection of Witnesses under Threat and Vulnerable Witnesses inaweza ikawasaidia kuwaongozaKama inawezekana, kata rufani Court of appeal. Huko bado kuna ka harufu ya haki, wanaweza kukaidi maagizo. Huyu binti ilitegemewa , hawezi kukaidi maagizo!
Naunga mkono hojaKama inawezekana, kata rufani Court of appeal. Huko bado kuna ka harufu ya haki, wanaweza kukaidi maagizo. Huyu binti ilitegemewa , hawezi kukaidi maagizo!
tunayajua yote haya........hii doc ninayo.........na case laws kibao zilizokataa kificho.....Document hii Law on Protection of Witnesses under Threat and Vulnerable Witnesses inaweza ikawasaidia kuwaongoza
Angalau zisaidie kujenga hoja mahakamani ili stories za kilayman zipungue!tunayajua yote haya........hii doc ninayo.........na case laws kibao zilizokataa kificho.....
asante kwa kujali
Lissu anatesekea watu ambao hawapo tayari kuteseka kwa ajili yakeKama inawezekana, kata rufani Court of appeal. Huko bado kuna ka harufu ya haki, wanaweza kukaidi maagizo. Huyu binti ilitegemewa , hawezi kukaidi maagizo!
Mliziwasilisha kwa Jaji?tunayajua yote haya........hii doc ninayo.........na case laws kibao zilizokataa kificho.....
asante kwa kujali
Sawa, ila yooote hayo kamwe hayawezi kubadilisha kwamba sa100 sio kilaza!!.Mchezo wa kugalagala kwenye matope, usidhani kambale atauchukia, ndio kwanza anapata mzuka. Na bado, Kisutu wakitoa uamuzi wowote ule, na wenyewe unakatiwa rufaa.
Lengo main case ya uhaini isisikilizwe tubaki na maombi madogo na rufaa zilizojaa kila mahali, na mtuhumiwa akibaki anabeba mitondoo kusubiri kesi ndogo na rufaa zilizojaa mahakama za juu. Kwa wataalamu wa kufanya wiring ya mambo ya kisheria, na kutegesha sehemu ili shoti ya umeme itokee, wanaweza kumkalisha Lissu mpaka 2027 magereza.
Lissu atabaki akitoa mihadhara ya academics mahakamani, lakini haitasogeza hata vumbi kwa hatua moja
mnyika kakata tamaa kabisa maskini,Still unazid kukaa uchi bila kujijua unabwatuka tu!! Lofa ambae mnapambana nae na kumuweka gerezani ili asizishe ushawishi kwa Watanzania zaid ya nusu ya idadi yote!! Mwenye akili ya kawaida hawez mmbeza Lissu cz impact yake inajulikana na kuonekana kwa kila raia, haiwezekan upambane na lofa every where!!!
Ukifuatilia vizuri kesi hii, utaona kuwa Jamhuri hawana mashtaka yoyote yenye mashiko ya kumshtaki na kumshikilia Lissu. Hivyo, wanazua jambo ambalo litasababisha aendelee kukaa ndani.Yes.... Akikata rufaa atakuwa within range..... Itasikilizwa early February 2026 baada ya wiki ya sheria