Hata kama alipata Div 0 to me it doesnt matter kama wewe p53 ulipata Div 1 with flying colours umelisaidia nini Taifa tunachoangalia ni performance katika uongozi wake ukianza kuchunguza matokeo ya mitihani ya viongozi hasa wabunge hutaamini macho yako
Nadhani wakuu wengi hapa mnadhani na hate vile Mnyika alipata A zote.Wakuu niwahakikishie kuwa sina chembe ya chuki hata moja!Simpimi Mnyika kwa matokeo yake ya sekondari,na hata elimu yake.Sisemi Mnyika hafai kuwa Mbunge wa ubungo kwavile alipata point 7 au hakupata point 7.Kama elimu ya kwenye makaratasi ndiyo kuwa kichwa na kiongozi bora,mbona basi asiwe Mh.Chenge aliyesomea Harvard?Haya yote nayajua wakuu.Hoja yangu ni kwamba tusiite watu vichwa eti kwavile walipata A nyingi sekondari.Mbona ni rahisi tu wakuu,shida iko wapi?