John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

Kawashauri maccm wenzako
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA),utakuwa ni mpumbavu kama upo Tanzania iwapo huamini kuwa CHADEMA wanapenda Maendeleo kuliko kitu kingine,kuwa CHADEMA siyo kwamba huna akili bali ni utashi wa fikra baada ya kuona mabwanyenye wa ccm wanathamini sana familia zao na pande wanazotokea bila kujali sehemu zingine za nchi.Ukitaka uone maendeleo ya ccm basi kiongozi mkubwa wa nchi atokee sehemu hiyo,miradi yote ya Serikali itahamia huko.
 
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
Kila Mtanzania asili yake CCM mzee, ukizaliwa tu wewe ni CCM maana Wazazi wako wote walikuwa CCM , Kama hutaki wewe ni mbishi tu johnthebaptist
Wewe ni mjinga sana CCM imezaliwa 1977 unaposema wazazi wako wote walikuwa ccm wewe ni mpumbavu maana hata wengine tumezaliwa kabla ya ccm na wazazi wetu hawakuwahi kuwa wan ccm kabla ya kuzaliwa kwetu.
 
Umetumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuvunja sheria au utaratibu wa JF, bado nasisitiza kila Mtanzania asili yake ni TANU na ASP, nikisema Kila Mtanzania asili yake ni CCM uelewe, kitu kizuri ni kwamba CCM inaleta maendeleo kwa Watanzania wote WALOLA VUNZYA
 
Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.
 
Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.
Inayosimamia hayo maendeleo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotokana na Chama Cha Mapinduzi kilichoshinda uchaguzi wa mwaka 2020.
Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.
 
Yaani unasema ccm ni chama Bora!Cha kistaarabu!!?
Kafulila yupo wapi?Ali happy,Malinda!!
Ni kweli jombaa hujapigiwa na katibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…