Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakwambia Bado tume nachunguza mkuuKweli mnatekeleza Kwa Umakini mkubwa.
Vp, mlishampata anaeweka maji ya maiti kwenye samaki wa Kanda ya ziwa???
Ni halali mumtolee mate Mnyika Kwa ubovu wa viongozi mlonao.😃😃😃
Siku hizi wana slogan mpya ya hapa tozo tuMtu akiitaji ccm huwa nahisi kutapika.
Chama kilichojaa dhulma, ukatili, unyama, wizi, ujambazi nk
Kawashauri maccm wenzakoNdugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Muulize huyo chumia tumboHizo siasa za kistaarabu zikoje? CCM ndio Wana siasa za kistaarabu?
Shukrani kwa kuwa mtunza kumbukumbu mzuri
Wakati huo mleta uzi alikuwa kwao chato anakimbizana na kambale na kamongoUna uhakika ,Mnyika aliwahi kuwa mwana CCM?
ChatoUnateseka ukiwa wapi?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA),utakuwa ni mpumbavu kama upo Tanzania iwapo huamini kuwa CHADEMA wanapenda Maendeleo kuliko kitu kingine,kuwa CHADEMA siyo kwamba huna akili bali ni utashi wa fikra baada ya kuona mabwanyenye wa ccm wanathamini sana familia zao na pande wanazotokea bila kujali sehemu zingine za nchi.Ukitaka uone maendeleo ya ccm basi kiongozi mkubwa wa nchi atokee sehemu hiyo,miradi yote ya Serikali itahamia huko.Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Inasikitisha sana.
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCMNdugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo muumini wa siasa za kistarabu, siasa za kujenga hoja, siasa za kusikilizana, siasa za kukubaliana kutokubaliana, umekuwa Mwanafunzi mzuri wa Mh. Freeman Mbowe, kwa sasa Chadema si sehemu yako Sahihi, ni bora kwako kuachia nafasi ya Katibu Mkuu Chadema ukarudi CCM ili uendelee na siasa za kistarabu.
Najua sio rahisi kwa Mh. Freeman Mbowe kwa sasa kurudi CCM lakini muda utaamua, Mh Mbowe ni Muumini wa maendeleo na kwa sasa anaona namna Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan inavyowaletea Watanzania maendeleo kwa kusogeza huduma muhimu karibu yao.
Ndugu yangu Mnyika, Makamanda wenzako Lema na Lissu hawataki kurudi Tanzania sio kwa sababu kuna tishio lolote kwa sasa bali wanaona Chama kimepoteza muelekeo, kimekuwa Chama cha kwenye mitandao, ukimya wa akina Msigwa ukupe hamu ya kurudi CCM, ukweli ni kwamba Watanzania wote asili yetu ni CCM na si jambo baya kurudi kwenye asili yako.
Maendeleo ni kwa Watanzania.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Yaani,hawa majamaa ni wajinga sana.Kunajisi uchaguzi ndio siasa za kistaarabu kwa CCM
Wewe ni mjinga sana CCM imezaliwa 1977 unaposema wazazi wako wote walikuwa ccm wewe ni mpumbavu maana hata wengine tumezaliwa kabla ya ccm na wazazi wetu hawakuwahi kuwa wan ccm kabla ya kuzaliwa kwetu.Kila Mtanzania asili yake CCM mzee, ukizaliwa tu wewe ni CCM maana Wazazi wako wote walikuwa CCM , Kama hutaki wewe ni mbishi tu johnthebaptist
Umetumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuvunja sheria au utaratibu wa JF, bado nasisitiza kila Mtanzania asili yake ni TANU na ASP, nikisema Kila Mtanzania asili yake ni CCM uelewe, kitu kizuri ni kwamba CCM inaleta maendeleo kwa Watanzania wote WALOLA VUNZYAWewe ni mjinga sana CCM imezaliwa 1977 unaposema wazazi wako wote walikuwa ccm wewe ni mpumbavu maana hata wengine tumezaliwa kabla ya ccm na wazazi wetu hawakuwahi kuwa wan ccm kabla ya kuzaliwa kwetu.
Kule kwenu washakuwa wote wapumbavu tayari SAGAI GALGANOIdadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.Umetumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuvunja sheria au utaratibu wa JF, bado nasisitiza kila Mtanzania asili yake ni TANU na ASP, nikisema Kila Mtanzania asili yake ni CCM uelewe, kitu kizuri ni kwamba CCM inaleta maendeleo kwa Watanzania wote WALOLA VUNZYA
Inayosimamia hayo maendeleo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotokana na Chama Cha Mapinduzi kilichoshinda uchaguzi wa mwaka 2020.Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.
Maendeleo huletwa na Watanzania wote maana wanashiriki kulipa kodi na tozo mbali mbali za Serikali.
CCM haikushinda uchaguzi 2020 bali ilichukua kupitia vyombo vya dola.Inayosimamia hayo maendeleo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotokana na Chama Cha Mapinduzi kilichoshinda uchaguzi wa mwaka 2020.
Yaani unasema ccm ni chama Bora!Cha kistaarabu!!?Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.