John Mongela asema vichaa watafundishwa adabu na vijana wa CCM

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu

Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.

Sijui watashughulikiwa vipi, sad.

===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana vichaa mmoja au wawili. Tunakuomba utuachie, hawa watatokea vijana na wana CCM wa kuwafundisha adabu. Lakini hii ni kanda salama Simiyu imedhihirisha" - John Mongela, Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania bara
 
Anaruhusu ushenzi kama huo mtu anatamba kabisa hadharani kuvunja sheria alafu akitoka hapo anakuambia hakuna anaetekwa na kifo ni kifo tuu 🙄 siku abduli akifanywa hayo sijui kama atakua na ujasiri wa kusikiliza hayo maneno
 
Huyu si Mzee wake alifariki juzi Kati hapo??. Alitakiwa awe anaomboleza.
 
Na wakimteka na kumuua mzalendo wetu luhaga mpina kama walivyo muua mdude na mzee kibao Nchi haitakalika.tutakiwasha wapenda mabadiliko Hadi tukiuwe hicho kikundi Chao Cha uuaji
 
Wakuu

Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.

Sijui watashughulikiwa vipi, sad.

===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana vichaa mmoja au wawili. Tunakuomba utuachie, hawa watotekea vijana na wana CCM wa kuwafundisha adabu. Lakini hii ni kanda salama Simiyu imedhihirisha" - John Mongela, Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania bara
View attachment 3374640
Kile alichokiongea yule mjeshi leo kwenye press kinaanza sasa kuthibitika
 
Na wakimteka na kumuua mzalendo wetu luhaga mpina kama walivyo muua mdude na mzee kibao Nchi haitakalika.tutakiwasha wapenda mabadiliko Hadi tukiuwe hicho kikundi Chao Cha uuaji
Huo mkwara tu huna ubavu
 
Anaruhusu ushenzi kama huo mtu anatamba kabisa hadharani kuvunja sheria alafu akitoka hapo anakuambia hakuna anaetekwa na kifo ni kifo tuu 🙄 siku abduli akifanywa hayo sijui kama atakua na ujasiri wa kusikiliza hayo maneno
Anatamba kuua hadharani huku watoto na mke wake wakisikia
 
This is highest level of narcissism. She can not talk like. She doesn't have empathy at all. anyway, tumbo kwanza mengine baadaye lakini kuna siku ilo tumbo litatoweshwa lakini matendo ya huruma udumu milele na kizazi chako kitafaidi.
 
Wakuu

Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.

Sijui watashughulikiwa vipi, sad.

===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana vichaa mmoja au wawili. Tunakuomba utuachie, hawa watotekea vijana na wana CCM wa kuwafundisha adabu. Lakini hii ni kanda salama Simiyu imedhihirisha" - John Mongela, Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania bara
View attachment 3374640
Angekuwa mtu wa CHADEMA amesema ivyo angeshapewa kesi ya uchochezi
 
Back
Top Bottom