Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sana mkuuNoma
Kile alichokiongea yule mjeshi leo kwenye press kinaanza sasa kuthibitikaWakuu
Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM.
Sijui watashughulikiwa vipi, sad.
===
"Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana vichaa mmoja au wawili. Tunakuomba utuachie, hawa watotekea vijana na wana CCM wa kuwafundisha adabu. Lakini hii ni kanda salama Simiyu imedhihirisha" - John Mongela, Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania bara
View attachment 3374640
Huo mkwara tu huna ubavuNa wakimteka na kumuua mzalendo wetu luhaga mpina kama walivyo muua mdude na mzee kibao Nchi haitakalika.tutakiwasha wapenda mabadiliko Hadi tukiuwe hicho kikundi Chao Cha uuaji
Naona kabisa, badala kazi ifanywe na jeshi la polisi inafanywa na vijana wa ccm?Ccm kilichobak sasa ni kuua hadharani
Mjeshi yupi?Kile alichokiongea yule mjeshi leo kwenye press kinaanza sasa kuthibitika
Anatamba kuua hadharani huku watoto na mke wake wakisikiaAnaruhusu ushenzi kama huo mtu anatamba kabisa hadharani kuvunja sheria alafu akitoka hapo anakuambia hakuna anaetekwa na kifo ni kifo tuu 🙄 siku abduli akifanywa hayo sijui kama atakua na ujasiri wa kusikiliza hayo maneno
Kumteka mtu hadharani na baadae mtu huyo kukutwa amekufa haina tofauti na kuua hadharani.Ccm kilichobak sasa ni kuua hadharani
Angekuwa mtu wa CHADEMA amesema ivyo angeshapewa kesi ya uchocheziWakuu