Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
- Thread starter
- #21
Wanahabari inabidi wamfuate kumuuliza tusikie atajibu niniHalafu simba wakitolewa watakaa kimya kabisa kama maji mtungini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahabari inabidi wamfuate kumuuliza tusikie atajibu niniHalafu simba wakitolewa watakaa kimya kabisa kama maji mtungini
Kwa hiyo hata zile five walizopigwa ilikuwa ni mikakati ya ccm? Hawa viumbe kwa kupenda kusifiwa hawajambo!
huna uzalendo huoMuwe mnaona aibu, mnapenda sifa mpaka mnatia kichefuchefu
tuamine hivyo
Kwa hiyo huo uwanja ndiyo umeleta ushindi? Siku zote taifa stars inapakuliwa mlikuwa wapi wakati ccm ni ile ile?Five hazipimiki tena - tunaangalia matokeo ya mwisho - CCM inafanyakazi, uwanja wetu - msiopenda nendeni mkashitaki katani!
B5 Mongella
Unafikiri anaumwa?, ukiwa ccm wanakutoa akili, wanajaza uji wa sukari
Kwa hiyo huo uwanja ndiyo umeleta ushindi? Siku zote taifa stars inapakuliwa mlikuwa wapi wakati ccm ni ile ile?
Endelea kuugua sukari lkn CCM baba yako
Atakuwa anaumwa sio bure......Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pengine kweliAmeyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Mkuu kwani Ma-great Thinker humu tunalipwa? Hata hivyo nashukuru kwa kuyaona makossa ya kiuchapaji, nimerekebisha. wengine wangeanza kutukana bias sababu.Mkuu TataMadiba, are you high? Hebu soma unachoandika na urekebishe. Kama posho utaipata tu,hakuna tatizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakuja kusema hata Amber Rutty yupo kwenye ilani ya chama.
Wakati mwingine ni vema kukaa kimya,pumbav!Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii