John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Kwa hiyo hata zile five walizopigwa ilikuwa ni mikakati ya ccm? Hawa viumbe kwa kupenda kusifiwa hawajambo!

Five hazipimiki tena - tunaangalia matokeo ya mwisho - CCM inafanyakazi, uwanja wetu - msiopenda nendeni mkashitaki katani!

B5 Mongella
 
Kama Simba inaruhusu kupigwa goli nyingi namna ile ugenini basi itakuwa muujiza sana kuchukua kombe.
Kwenye mechi za mtoano itavukaje?
 
Unafikiri anaumwa?, ukiwa ccm wanakutoa akili, wanajaza uji wa sukari

Mtanuna sana lkn CCM tunaendelea kuwaletea raha watanzania
Kwani wamechezea uwanja uliotengenezwa kwa usimamizi wa CUF, ACT, CDM, NCCR? NO, ni CCM tena wakati wa Mkapa!

Heko CCM
 
Kwa hiyo huo uwanja ndiyo umeleta ushindi? Siku zote taifa stars inapakuliwa mlikuwa wapi wakati ccm ni ile ile?

Kwa CCM hata kama hukupitia mgambo lazima upige saluti - usipoioga lzm uinywe
 
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Atakuwa anaumwa sio bure......

Walipomteka Mo walitegemea ...

Mo asingepatikana unazani Simba wangekuwa apo waliopo?... .


Mpaka mmemnyanganya mashamba ili tu ateteleke simba iendelee vip sasa? au nayo ni sera ya CCM .....



CCM imelaniwa sana.
 
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pengine kweli

Jr[emoji769]
 
Wanasiasa wasichanganye hapa kazi tu ya Simba na mambo ya siasa hili wapate platform ya kupata umaarufi.Timu za Yanga na Simba zina mchanganyiko ya wapenzi wengi wanasiasa wa vyama tofauti tofauti .Kwa mfano MBOWE wa Chadema ni mwana YANGA wa kutupwa.timu ya wananchi je yeye ni CCM.Ningeshauri MANJI wamuachie aendelee kuisaidia Yanga hili tuendelee kupata ushindani wa mpira hapa nchini maana mpira sio siasa ,mpira ni HAPA KAZI TU.
 
Back
Top Bottom