Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
- Thread starter
-
- #41
Kweli mkuu weka TBC1 mkutano unaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pengine kweli
Jr[emoji769]
Tujue jinsi ya kuzishangilia timu, Simba sasa ni rasmi tawi la CCM na itakuwa alianza kuwasiliana na viongozi wa Simba, tumsubiri Manara akanushe.Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Akanushe nini?Tujue jinsi ya kuzishangilia timu, Simba sasa ni rasmi tawi la CCM na itakuwa alianza kuwasiliana na viongozi wa Simba, tumsubiri Manara akanushe.
Hata kutekwa kwa Mo ni utekelezaji wa IlaniAmeyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
www.facebook.com/ismail.jussa/videos/1006445889389431Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii
Watu kwa kudandia bhuaana !! Ila wakifungwa ni wao Simba [emoji87]Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Hahahahaaaaaaaa......!Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] angesema ni juhudi za ankal!!Ayaa,amekosea kidoogo sana,,,
Angemtaja ankal Magu,,
Pale kwenye ccm angemtaja ankal,,
Sent using Jamii Forums mobile app