John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Tujue jinsi ya kuzishangilia timu, Simba sasa ni rasmi tawi la CCM na itakuwa alianza kuwasiliana na viongozi wa Simba, tumsubiri Manara akanushe.
 
Hata kama ukimuona mwenzako mshamba sio kumfumbia hivi
Yaani ilani kabisaaa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Hata kutekwa kwa Mo ni utekelezaji wa Ilani
 
Pumbavu mkubwa.

Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
 
Wanasiasa wanapenda kujipachika kwenye mafanikio tu angalia kipindi Mbeya City ilipokuwa kwenye peak TPL,Leo hii huwez mkuta mwanasiasa wa Mbeya anajinasibisha nayo ndo siasa hiyo
 
Ilani ya CCM itatekelezwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa uwanja mpya - Dodoma. Ubingwa wa Simba umetokana na MO mliyemteka na kumrudisha kitaani. Mmesahau kuwa mwenyekiti wa CCM alivyoona Simba imevaa Jezi zenye rangi Nyekundu na Nyeupe kama za Chadema na akafurahi ilivyofungwa na Kagera Sugar na kuwananga kuwa eti 'Simba imetobolewa tundu'.
 
Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahahahaaaaaaaa......!
 
Ni kweli kabisa asemayo hata Maalim kuhamia ACT ni juhudi za fisiem...CUF wameila nyama wakagawana mifupa...idumu team mafisi
 
Back
Top Bottom