John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Uyo jamaa ukimuangalia tu na zile kofia zake anazovaaga utajua tu hayupo sawa mahali
 
Yani awamu hii mungu a forward siku tu ziishe haraka... It's way too much aisee! Upuuzi umekua mwingi sana.
Watu wanafikiria vyeo na nafasi zao tu sio taifa tena, eeeeh mungu Baba tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Na inapofungwa huwa inakuwa inatekeleza ilani ya CCM pia?
 
Ujinga mwingine unaupitia mbali kama unakwepa usikanyage kinyesi. maana...
 
John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo dunia gani mkuu? Huko uliko leo ni tarehe ngapi? Tukio la juzi wewe ndiyo linakufikia muda huu?
 
Linalokushangaza hapo ni lipi labda? Yaani hujui kwamba Simba SC ndiyo CCM na Tanzania na Tanzania ni Simba SC na CCM na CCM ni Tanzani na Simba SC? Miswahili bhana!
 
Upo dunia gani mkuu? Huko uliko leo ni tarehe ngapi? Tukio la juzi wewe ndiyo linakufikia muda huu?

Huyo lazima tu atakuwa ni Yanga SC halafu ni wale Ndugu zetu wakubwa kile Chama Kulalamika, Maandamano na Kukimbiwa mara kwa mara.
 
Linalokushangaza hapo ni lipi labda? Yaani hujui kwamba Simba SC ndiyo CCM na Tanzania na Tanzania ni Simba SC na CCM na CCM ni Tanzani na Simba SC? Miswahili bhana!
Mimi hapo awali nilikuwa mshabiki wa yanga! Ila nikaja kuona viji-element vya u-ccm kwao! Kuanzia bendera hadi uongozi! Nikaamua ku switch na kugeukia Simba!! Leo mtu akiniiuliza timu rasmi ya ccm ni ipi ntajibu kwa kujiamini kuwa ni YANGA
 
Yanga SC ilikuwa ni CCM wakati wa Awamu ya Mwana Yanga SC Mwenzao JMK ila kwa sasa CCM ni Simba chini ya Mwana Simba SC Mwenzetu JPM.
 
Yanga SC ilikuwa ni CCM wakati wa Awamu ya Mwana Yanga SC Mwenzao JMK ila kwa sasa CCM ni Simba chini ya Mwana Simba SC Mwenzetu JPM.
Basi inabidi yanga wabadili bendera yao maana ipo ki ccm kabisa!! Hata matokeo yake ni ya ki ccm ccm!! Hata ushindi wao huwa ni waki utata utata tu kama ccm!
 
Basi inabidi yanga wabadili bendera yao maana ipo ki ccm kabisa!! Hata matokeo yake ni ya ki ccm ccm!! Hata ushindi wao huwa ni waki utata utata tu kama ccm!

Ni Kosa Kubwa kuifananisha CCM na Yanga SC kwa Kigezo cha Rangi zao za Bendera kwani hizi ni Taasisi mbili zenye ' Interests ' tofauti kwa Wahusika / Walengwa ila kuna uwezekano CCM wakati wa Kampeni zake za Uchaguzi Mkuu kwa mbinu ya Kipropaganda huamua kwa Makusudi Kuwaaminisha Wana Yanga SC kuwa ni Wenzao ili tu wapate Kura zao wakati Kiuhalisia hakuna Uhusiano wowote ule wa Kitija kama siyo Kimantiki baina yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…