Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uyo jamaa ukimuangalia tu na zile kofia zake anazovaaga utajua tu hayupo sawa mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Nabii Tito alianzaga Hivi Hivi [emoji3][emoji16][emoji16]Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Mkuu unatumia tecno kama mimi?
Ko Yanga inavyoomba omba nazo ni utekelezaji wa ilani ya ccm?Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Na inapofungwa huwa inakuwa inatekeleza ilani ya CCM pia?Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo dunia gani mkuu? Huko uliko leo ni tarehe ngapi? Tukio la juzi wewe ndiyo linakufikia muda huu?
Mimi hapo awali nilikuwa mshabiki wa yanga! Ila nikaja kuona viji-element vya u-ccm kwao! Kuanzia bendera hadi uongozi! Nikaamua ku switch na kugeukia Simba!! Leo mtu akiniiuliza timu rasmi ya ccm ni ipi ntajibu kwa kujiamini kuwa ni YANGALinalokushangaza hapo ni lipi labda? Yaani hujui kwamba Simba SC ndiyo CCM na Tanzania na Tanzania ni Simba SC na CCM na CCM ni Tanzani na Simba SC? Miswahili bhana!
Mimi hapo awali nilikuwa mshabiki wa yanga! Ila nikaja kuona viji-element vya u-ccm kwao! Kuanzia bendera hadi uongozi! Nikaamua ku switch na kugeukia Simba!! Leo mtu akiniiuliza timu rasmi ya ccm ni ipi ntajibu kwa kujiamini kuwa ni YANGA
Basi inabidi yanga wabadili bendera yao maana ipo ki ccm kabisa!! Hata matokeo yake ni ya ki ccm ccm!! Hata ushindi wao huwa ni waki utata utata tu kama ccm!Yanga SC ilikuwa ni CCM wakati wa Awamu ya Mwana Yanga SC Mwenzao JMK ila kwa sasa CCM ni Simba chini ya Mwana Simba SC Mwenzetu JPM.
Basi inabidi yanga wabadili bendera yao maana ipo ki ccm kabisa!! Hata matokeo yake ni ya ki ccm ccm!! Hata ushindi wao huwa ni waki utata utata tu kama ccm!