Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Basi yanga wanapaswa kuziba hiyo loophole inayawapa mwanya wanasiasa kuitumia kwa maslahi yao! Na kwa maudhui yako ni hiyo "Bendera" waachane nayo!Ni Kosa Kubwa kuifananisha CCM na Yanga SC kwa Kigezo cha Rangi zao za Bendera kwani hizi ni Taasisi mbili zenye ' Interests ' tofauti kwa Wahusika / Walengwa ila kuna uwezekano CCM wakati wa Kampeni zake za Uchaguzi Mkuu kwa mbinu ya Kipropaganda huamua kwa Makusudi Kuwaaminisha Wana Yanga SC kuwa ni Wenzao ili tu wapate Kura zao wakati Kiuhalisia hakuna Uhusiano wowote ule wa Kitija kama siyo Kimantiki baina yao.