Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:
"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa