LGE2024 John Mrema aanika madudu ya TAMISEMI, waongeza sifuri na herufi kuwakosesha sifa Wagombea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mtoa Mada..
Video tu Haitoshi, kutuaminisha kuwa ni kweli ulichokiandika.
Ulichokiandika ndicho alichokiongea ,
Je, tunaweza kupata attachment nyingine..(Picha ya hizo fomu)
 
UCHAWA ndiyo SIFA inayo wapa vyeo huko CCM na kuteuliwa Serikalini.

Waangalieni hao watawala muone wanavyo fanya kazi, wote ni makada wa CCM na Wote ni wateuliwa na mteuzi ni Mwenyekiti wa CCM taifa.

Mnataka wafanye nini tofauti? halafu wapoteze ulaji wao? Muwahurumie hivyo ndivyo wanaendesha maisha yao.
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Ccm wapuuzi sana
 
Mimi nashauri Chadema na ACT wafungue kesi kuzuia huu uchaguzi usifanyike kutoka na hujuma hizi na kama Mahakama ikiibeba CCM katika maamuzi yake basi wajitoe wasishiriki huu uharamia.
 
Njia salama ya CCM kushinda uchaguzi huu bila kuleta kishindo kwenye jamii ilikuwa ni kuiba kura na sio kufanya hivi walivyo fanya.
Mtu akiweka pingamizi kukatwa jina lake atarudi ila kwenye box la kura ni Siri hakuna picha Wala nn
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kukosea herufi hakuwezi kuwa sababu ya kumuengua mgombea, sijuii kwa Nini hizi kanuni Kila uchaguzi zinajirudia

Hivi kweli ccm hawaoni aibu kwa mambo haya ya kijinga?

Ccm hakuna wazee wenye busara wakemee huu ujinga??
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Naona bado hatujawa siriazi kupambana na hawa wahuni vema.
 
Ccm wapuuzi sana

Kwanza Kule Msumbiji wapinzani walifikiri Uchaguzi ni lelemama.

Hata Marekani hakuna uchaguzi Rahisi ndio maana Trump alikoswa koswa kuuawa.
Yote ni uchaguzi . Tofauti ya chaguzi duniani ni jinsi vyombo vya dola vinavyoegemea kwa wahuni wanaotawala lakini chaguzi ni aina ya vita vya kisiasa . Vyombo vya dola vikisimama upande mmoja basi hali inakua mbaya kwa wazembe na nzuri kwa watawala .

Wapinzani kule Mozambiki ni wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe.

Uchaguzi wa serikali za mitaani kule Msumbiji kwa chama chenye watu wengi wa kutosha kushinda kwenye mtaa ni usengerema kabisa kupanua midomo na kulia kama makinda ya ndege tena Kunguru badala ya kupambana na wahalifu ,jino kwa jino ,moto kwa moto ,ofisi kwa ofisi ,nyumba kwa nyumba, Panga kwa panga nchi nzima.

Mpaka leo kule Msumbiji hakuna hata ofisi kama Mia tano mpaka elfu moja za Frelimo zilichomwa moto na ofisi za kata zao na vitongoji na nyumba ya aliyeharibu uchaguzi kutiwa kiberiti . Nchi nzima ya Msumbiji mpaka sasa wapinzani wanalia lia tu. Sijui wanamlilia nani sasa ?
Kwa sasa Frelimo wanakaribia kutokewa madarakani na uchaguzi huu na wa mwakani wapinzani wasipoamka jino kwa jino . Anayechaguliwa kwa figisi usiku huo huo wanavuna asali kwenye nyumba yake na kubakiza mkaa na moshi ulifuka . Wasipofanya hivyo wale wanaovuruga watavuruga na watafurahia kuvurugwa kwa uchaguzi . Lakini hali ikiwa ni jino kwa jino ,jeraha kwa jeraha , shingo kwa shingo nchi nzima kimya kimya . Hakuna atakayetaka ushindi wa dhulma . Watanyooka na kutaka amani .
Wahenga waliona mbali zaidi wakasema hakuna Amani bila ncha ya upanga. Hii ni kanuni ya asili kwa watu waovu.
Watu waovu wanapigwa kwa dhoriba kali au kwa Dua mbaya ili mwenyezi Mungu awashushie adhabu kali .
Adhabu kwani inaweza kufanywa na watu wanaovikwa roho ya ujasiri na kugawa kibano kwa madhulumaji wa haki za watu kuchagua viongozi wao kule Msumbiji.

Kwa Tanzania ni lazima tukubali kuwa Wapinzani bado kiroho wapo dhaifu sana hasa Mbowe. Anataka madaraka kwa tamaa na sio kuwapigania watanzania wenye maisha ya chini . Ubepari kamwe haupo duniani kwa ajili ya watu wanyonge. Ubepari ni unyama na unyama unatafuta faida kuipitia shida za watu. Shida za watu ni fursa kwa Mabepari kuchota fedha na kuweka vibaraka na machawa wa kuwasifia.

Lakini pia nashangaa sana kuona wa mpinzani wanajaeana kwenye baa wanalewa pombe na wanawake katika nyakati hizi ambazo walipaswa kulala misikitini ,makanisani na kwenye Misitu ya matambiko ili kuomba roho za mageuzi ziwashukie watangayika kwa nguvu kubwa na ujasiri wa kupigania haki hata kwa kufa uwaingie watangayika .
Yaani wapinzani ni dhaifu sana kiroho ndio maana waliitisha maandamano hakunatu anayetoka. Lakini Yanga ikifungwa watu wanaweza kuua au kujiua . Ni imani kubwa waliyo nayo wanachama wa Yanga . Watu wapo tayari kupigania timu ya mpira hata kwa kumpiga refa na kuvunja viti na fujo kubwa. Hawa pia ni Watangayika na sio waoga kwenye dhulma ya mpira uwanjani.

Mipinzani kwa sasa mwenye uelekeo wa nguvu kubwa kiroho ni Tundu Lisu ambaye ni tishio zaidi kwa Mbowe na genge lake kuliko hata CCM.

Mbowe asivuruge mageuzi afanye haraka kuacha demokrasia ndani ya Chama itawale. Lisu achaguliwe kuwa Mwenyekiti wa Chama . Awarudishe akina Dr.Slaa wenye nguvu kubwa ya kiroho na wengine wengi watarudi Chadema na kurudisha imani kwa wapiga kura na wa anachama wa Chadema .

Mbowe hata aitishe maandamano kijijini kwake hapati mtu .Ni dalili mbaya sana kiroho katika vita ya kupigania maslahi ya umma . Ni wazi kuwa umma haupo tayari kumlinda na kumpa nchi aitawale .
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Not right kabisa
 
aliekiuka utaratibu na wale wote wasio na sifa, vigezo na wale ambao hawakutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba waengulie tu.

hatuwezi kukiuka sheria na katiba ya nchi kwa uzembe wa mgombea moja au wawili.
hiyo inamaanisha kuna wagombeaji uongozi hawajui kusoma wala kuandika, wanaandikiwa kila kitu na watu wa vyama vyao. Sio rachis mtu kukosea jina lake na kusingizia wengine ikiwa anajua kuandika 🐒
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Wataendelea kulia kama Kunguru huku.

Chama kimeshinda Mbowe na genge lake lilijaa ubinafsi wa kimaslqhi.

Wananchi hawamtaki Mbowe na watu wake wasio na nia njema na nchi huo zaidi ya kutafuta maslahi.

Aibu kubwa kwa chama kikubwa kama Chadema kushindwa na CCM ya kifisadi iliyokubalika kwa watanganyika na Wapenda haki na amani kama mashehe na Kanisa Katoliki . Wapinzani wameshindwa kabla ya uchaguzi kwa sababu ya kuwa na viongozi waovu na wasio na nia ya kweli ya kupigania maslahi ya nchi. Tena Chadema ina bahati nchi imepata mtetezi wa Wanyonge Wakili msomi Mwabukusi. Nchi ilikua imeshadorora siasa.
Angalau Lisu anamaanisha anachokipigania japo Mbowe anampiga vita sana ili tu asijeakajijenga kisiasa.
 
How to address you're political problems to the world
bulsae_2.jpg
 
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Huyo wa Kilosa na wenzake kama yeye ni kuwashitaki wao binafsi kwa kosa la kughushi n.k. maana ushahidi upo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom