LGE2024 John Mrema aanika madudu ya TAMISEMI, waongeza sifuri na herufi kuwakosesha sifa Wagombea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:

"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau kwamba mwaka huu (2024) wagombea walikuwa wanajaza fomu mbili, kwa mfano mgombea kwenye kata ya Kimamba 'B', kijiji cha Kimamba 'B', kitongoji cha Kwa Bwana Mizinga mgombea wetu anaitwa Kilato Yunge Boniface badala ya Yunge wameongeza herufi moja anaandikwa kama Myunge, badala ya Boniface ameandikwa Boneface"
Your browser is not able to display this video.
Soma: CHADEMA wanatoa Tamko kuhusu hali ya Kisiasa inayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
 
Kwanini Tunafanya Hivi sio Sawa maana Hivi ni kusababisha Matatizo na Uvunjifu wa Amani sio sawa
 
CHADEMA wamekosa watu sahihi wa kukishauri chama. Tuliwaambieni msishiriki kabisa uchaguzi huu wenye wingi wa figisu, wakabisha
 
CCM inalitia aibu sana Taifa letu
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 3

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 2
  • IMG_3824.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
  • 5808626-bde51487c15170759ed7838e0c83538c.mp4
    339 KB
Kamateni huyu msimamizi peleka polisi kwa nguvu!
 
Hii ni Kauli ya Kikakamavu iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jackob huko Mlandizi



Watake Wasitake, Walioenguliwa wote watarejeshwa

 
Hivi hawa CCM huu uhuni watakuja kuacha lini?
 
Kama huyu Bashiru ana roho katili kama ya kuhutu!
 
Kama walijaza mbili au kutoa kopi waliochezea wataumbuka mchana kweupe
 
CCM wanafanya upumbavu wa hali ya juu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…