Uchaguzi 2020 John Mrema aanza kampeni jimbo la Segerea kwa kuomba michango

Kwanini ccm huwa mnaumia sana wenzenu wanapokuwa wanachangiwa? Mbona hamkupiga kelele pale magufuli alipochangia ujemzi wa msikiti wakati waislam wanao uwezo wa kujenga wenyewe?
Tatizo hawa wanaotuomba michango wamekuwa wakisema kuwa mtaani pesa hakuna, sasa kama hakuna wanaomba nini?
 
Tatizo hawa wanaotuomba michango wamekuwa wakisema kuwa mtaani pesa hakuna, sasa kama hakuna wanaomba nini?
Mtaani hakuna pesa ndio maana wanaomba, na ndio maana wewe pia unaona uchungu kutoa. Zingekuwepo wasingeomba wala usingelalamika
 
Kwanini ccm huwa mnaumia sana wenzenu wanapokuwa wanachangiwa? Mbona hamkupiga kelele pale magufuli alipochangia ujemzi wa msikiti wakati waislam wanao uwezo wa kujenga wenyewe?

Watu hawapingi kutoa michango, watu wanataka transparency and accountability ya fedha za chama.Bora kuweka wazi mapungufu ili wanachama na wapenzi waweze kuokoa jahazi.

Sisi tunahoji serikali ya CCM inavyotumia pesa bila maelezo,halafu Chadema inatuchangisha pesa bila maelezo,je tutapata nguvu ya kuwarushia makombora CCM?
 
Katika makuadi waliokula hela ya lowasa kwa kwango kikubwa jamaa anawezashika no 2 nyuma ya mwamba mbowe
 
Napinga john mrema kuchangiwa michango.
Hii tabia ni lazima ikomeshwe, HAKUNA KUMCHANGIA MREMA PESA YOYOTE
Hapo ndipo mnapokosea, michango inanfanya kiongozi awajibike kwa wananchi, nchi za wenzetu ni kawaida sana kuchangiwa, CCM wanatoa rushwa kuwanunua wapiga kura, wakichaguliwa wanakuwa na kazi ya kurudisha pesa walizotumia, nyie mliopokea rushwa mnaachwa solemba.Naunga mkono wagombea kuchangisha hela kwa ajili ya Campaign
 
Wanakura bia tu na konyagi na nyama choma.
 
Wewe pia ni omba omba in one way or another.... Harusi unataka uchangiwe, send off unataka uchangiwe, ukienda bar bia unaomba, mara ukipata shida gari unaazima etc etc so kipi cha ajabu hapo?
 
Hili jambo lao ni zitooo ndio maana wengine wameamua kujitoa
 
Afu Chadema kwa Mrema tumebugi hana mvuto huyu jamaa.
 
Hizo ndio zao na mbowe na hata ofisi hakuna.yaani huyo ni michango tu ndio anataka.msichague kabisa
 
Huyu dogo anajua hashindi kaamua kutafuta mtaji kwa ulaghai
 
Hakuna Ruzuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…