Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tatizo hawa wanaotuomba michango wamekuwa wakisema kuwa mtaani pesa hakuna, sasa kama hakuna wanaomba nini?Kwanini ccm huwa mnaumia sana wenzenu wanapokuwa wanachangiwa? Mbona hamkupiga kelele pale magufuli alipochangia ujemzi wa msikiti wakati waislam wanao uwezo wa kujenga wenyewe?